Kichuchunge
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 384
- 970
Siku tatu kabla ya kilele cha Simba Day tiketi zote 60,000 zinazojaza Uwanja wa Benjamin Mkapa zilikuwa zimeuzwa (Sold Out).
Hii ni mara ya kwanza kwa Uwanja wa Benjamin Mkapa kujaa siku tatu kabla ya tukio na Simba ndio imeweka historia.
Tiketi za Platnum ziliisha siku moja baada ya kutangazwa kuuzwa zikifuatiwa na VIP A siku mbili baadae.
Mgawanyo wa viti kwenye uwanja wa Mkapa uko kama ifuatavyo;
Platinum viti 20 tu – .......................................Sh 200,000
VIP A -watazamaji 748– .................................Sh 40,000
VIP B – Watazamaji 4160 - .............................Sh 30,000
VIP C – Watazamaji 4060- .............................Sh 20,000
Machungwa – Watazamaji 11,897 -.............Sh 10,000
Viti vya kijani – Watazamaji 19,648 -.............Sh 5,000
Viti vya bluu - Watazamaji 17,045 - ................Sh 5,000
PIGENI HESABU WENYEWE