Sole Proprietor vs Company, kipi bora?

Sole Proprietor vs Company, kipi bora?

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2019
Posts
12,675
Reaction score
25,924
Wana Jamvi, nimeulizwa hili swali na mtu, nikawa sina uzoefu sana, hasa kiutendaji. huyu mtu anataka kuanzisha biashara, na anataka kufungua kampuni, and at the same time ameshauriwa kuwa its more or less the same akifanya biashara kama sole proprietor kwa kusajili jina la biashara kupata leseni na TIN etc, na biashara yake ikaendelea bila kufungua kampuni, na kampuni akaja kufungua baadaye biashara ikiwa established vizuri. unaweza kumshauri nini mtu kama huyu? kwenu wataalamu....
 
Back
Top Bottom