Solicitations: TCRA waanzishe leseni ya umiliki wa simu za mikononi

puttin

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2015
Posts
226
Reaction score
366
What if TCRA wakianzisha leseni ya umiliki wa simu
Viambatanisho.-

1.Cheti cha daktari cha kuonyesha afya ya akili yako

Na vinginevyo watakavyoona vinafaa then wanatoa Class za umiliki wa leseni kulingana na Attachment zako

mfano mtu kama Musiba anapewa Class 'Z" yaani huyo atakuwa anaenda kupiga simu vibandani tu haruhusiwi kumiliki hata Kitochi

Amber ruti na wenzie Wafananae wanapewa Class X yaani hao hawaruhusi kumiliki simu zaidi ya jamii ya Nokia ya Tochi.Class X hauruhusiwi kumiliki Smatifoni kabisa ukikutwa ni Cheti

Naomba kuwasilisha....
 
umepost bahati mbaya au unatumalizia Charge Baharia
 
umepost bahati mbaya au unatumalizia Charge Baharia
Wewe utakula Class Y Smatifoni isiyokuwa na Apps wewe kazi yako ni kupiga picha tu na kuwatumia watu kwa Bluetooth....
 
Wewe utakula Class Y Smatifoni isiyokuwa na Apps wewe kazi yako ni kupiga picha tu na kuwatumia watu kwa Bluetooth....
Hahaha mimi ntapata class F smartphonga yangu iwe na namba za watoto wakali tu wa humu JF.
 
Mkuu tukikupa Class J tutakuonea...?simatifonga ipige simu,kutuma Sms na kuingia Facebook huku naona haujakidhi vigezo hata Badoo hauingii...
 
Mkuu tukikupa Class J tutakuonea...?simatifonga ipige simu,kutuma Sms na kuingia Facebook huku naona haujakidhi vigezo hata Badoo hauingii...
Wewe class M iwe inakupa updates za Urusi tu kwa Putin bas..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…