Solo Thang alitabiri Corona 2001

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
"Bila Upevu wa Fikra kung'amua Hii Homa ni Ndoto/ Madaktari , Waganga Wote Cha Mtoto/
Bado Wanaitafuta Pimajoto/
Kwani Dunia Ina Homa Kali Mithili ya Moto/

Wanasayansi Tumelala Maabara/ Tunaitafuta Tiba Kwani Homa ya Dunia Ishaleta Madhara
Hakuna Masihara/

Vipofu Wameisikia
Homa ya Dunia
Viziwi Bado Wanalia/
Mabubu Wanataka Kusimulia/
.
Dunia Sawa na Meli Yenye Tundu Inazama Polepole/
Nani Ataziba Tundu na Hakuna Kidole/

SOLO THANG " HOMA YA DUNIA 2001"
Isikilize yote YouTube hapa >>

 
Kwenye Homa ya Dunia, Solo alikuwa anaongea kuhusu UKIMWI wala sio Corona. Na wala ule haukuwa utabiri kwasababu hakuweka mashairi yake kwenye wakati ujao.

Kwahiyo Solo Thang hakutabiri Corona. No, hapana, sio kweli
 
Aliona mbali sana Ulamaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Homa ya Dunia, Solo alikuwa anaongea kuhusu UKIMWI wala sio Corona. Na wala ule haukuwa utabiri kwasababu hakuweka mashairi yake kwenye wakati ujao.

Kwahiyo Solo Thang hakutabri Corona. No, hapana, sio kweli
Ukimwi no homa?
 
Basi hii fursa ya corona inatakiwa apige hela au apate publicity kubwa kipindi hiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…