Solo Thang alitabiri Corona 2001

Kwenye Homa ya Dunia, Solo alikuwa anaongea kuhusu UKIMWI wala sio Corona. Na wala ule haukuwa utabiri kwasababu hakuweka mashairi yake kwenye wakati ujao.

Kwahiyo Solo Thang hakutabri Corona. No, hapana, sio kweli
UKIMWI si aliuzungumza kwenye "sukari Ina pilipili"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…