Solo Thang: Tuzidi kumuombea Chid Benz

Watafuta kiki wakina babu tale wameamua kumuacha jamaa. Walimtoa rehab baada ya mwezi huku msimamizi wa kituo alisema mwezi mmoja hautoshi walau akae hata miezi 6. Pole sana chidi benz, mkono mfururu yaani pahpahpah wamekaa!
Ni Nani aliyekuambia walimtoa rehab

Wakati yeye mwenyewe alikimbia mpaka kalapina akasema hatojisumbua kumsaidia tena

Mshaanza kuwalaumu watu ,mlaumuni chid mwenyewe
 
Chid Benz, Sauti yake tu ndio inauma.!
 
Rodrigo Duterte aje awe rais wa Tanzania kwa miezi 6 tu kisha arudi zake ufilipino






Alivyoingia madarakani aliwapa wiki 2 drug lords,pushers na mateja wajisalimishe..maalfu ya mateja [emoji115] [emoji115] [emoji115] wakajisalimisha kituo cha polisi na rehab ..hapo wakifanyishwa mazoezi na matibabu

Kisha akatoa amri Wale mateja, pushers, drug lords wabishi wauliwe ..saizi mateja huko ufilipino wamejazana rehab na polisi

Nb:huku Tanzania rais anasema huku anacheka Cheka majina ya wauza unga ninayo lakini siwataji WTF


Rodrigo Duterte njoo tukupe urais miezi 6 tu kisha urudi ufilipino utusafishie taka taka hizi
 
Ni Nani aliyekuambia walimtoa rehab

Wakati yeye mwenyewe alikimbia mpaka kalapina akasema hatojisumbua kumsaidia tena

Mshaanza kuwalaumu watu ,mlaumuni chid mwenyewe
Ndio kutafuta kiki kwenyewe huku, kwa hiyo kama alikimbia ndo inahararisha kumuacha? mbona walimpeleka WCB na kutoa nyimbo wakati wanajua kama alikimbia? Huku ni kutafuta kiki na hawakuwa na nia ya kumsaidia wala nini!!!
 
La familiaaaaaa! Child chid chid chid chid benzzz,dah ngada hatareeeee sana
 
Watu kibao wameathirika na madawa, why wasting our time kumuombea mtu mmoja!! Mimi nadhani imefika muda tuthamini waathirika wote sio hao wasanii tu. And this kind of care begins at the family level.
 
Ngada ni Hatari Yaani Chi chi chi Chuma kawa kama Piriton,Mwili wote kwishney,Wauza Ngada Walaaniwe Kabisa wanaharibu Maisha ya vijana na kupoteza nguvu kazi ya taifa.
 
Huyu ni muislam mwezetu rashidi tumsaidieni ?
 
 
Acha kumpa rais wa kiume kazi za ajabu ajabu.unamchosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…