wewe usiyetafuta kiki umemuweka rehab kwa muda gani?Watafuta kiki wakina babu tale wameamua kumuacha jamaa. Walimtoa rehab baada ya mwezi huku msimamizi wa kituo alisema mwezi mmoja hautoshi walau akae hata miezi 6. Pole sana chidi benz, mkono mfururu yaani pahpahpah wamekaa!
SoKama ni matusi lowassa katukanwa zaidi na lema na lissu. Walimuita kila jina baya na wakasema tukimuona njiani tumpopoe mawe kisha tumchome moto.
Hayo ndio maisha uliyochagua, kila la heri king Kong.Rapa Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.
Rapa Chid Benz
Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chid Benz ataendelea kuwa mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.
"Met with my Young brother Chid Benz last night almost cried, I dont judge, no matter what still my hommie, tumeongea sana, tuzidi kumuombea Mola" aliandika Solo Thang
Tazama video hii ikimuonyesha Rapa Chid Benz akiwa na Solo Thang
Kula sembe chidi, kula Sana sembe ikieezekana changanya Na Dona kabisa kakaRapa Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.
Rapa Chid Benz
Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chid Benz ataendelea kuwa mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.
"Met with my Young brother Chid Benz last night almost cried, I dont judge, no matter what still my hommie, tumeongea sana, tuzidi kumuombea Mola" aliandika Solo Thang
Tazama video hii ikimuonyesha Rapa Chid Benz akiwa na Solo Thang
Chidiii..., "the dead man working" kula sembe kijana..Rapa Solo Thang ameposti video akiwa na Rapa Chid Benz ambaye walikutana usiku na kuongea baadhi ya mambo, lakini kutokana na hali aliyokuwa nayo Chid Benz Solo Thang alisema hawezi kumuhukumu bali anastahili kuombewa tu.
Rapa Chid Benz
Katika ujumbe ambao Solo Thang aliandika kwenye mtandao wake wa Instgram alisema hawezi kuhukumu na hata iweje bado Chid Benz ataendelea kuwa mdogo wake, rafiki yake na mtu wake wa karibu.
"Met with my Young brother Chid Benz last night almost cried, I dont judge, no matter what still my hommie, tumeongea sana, tuzidi kumuombea Mola" aliandika Solo Thang
Tazama video hii ikimuonyesha Rapa Chid Benz akiwa na Solo Thang
Tafadhari SHILO kwa Prophet Frank akaombewe.DarAiseee yani huyu wamebaki kumzika tuu ana hali mabaya sana na wanao weza kumsaidia kwa sasa ni ndugu zake tuu,....