n00b JF-Expert Member Joined Apr 10, 2008 Posts 1,015 Reaction score 2,680 Jan 3, 2010 #1 [ame]http://www.youtube.com/watch?v=M25Cuxi-f0A[/ame] I like this song guys! Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana
[ame]http://www.youtube.com/watch?v=M25Cuxi-f0A[/ame] I like this song guys! Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana
Buchanan JF-Expert Member Joined May 19, 2009 Posts 13,192 Reaction score 1,972 Jan 3, 2010 #2 Dr. Pimbi said: http://www.youtube.com/watch?v=M25Cuxi-f0A I like this song guys! Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana Click to expand... Kweli ndugu, nakuunga mkono! Huyu dogo anaimba nyimbo zenye upako si mchezo, hasa huo wimbo wa Mfalme wa Amani!
Dr. Pimbi said: http://www.youtube.com/watch?v=M25Cuxi-f0A I like this song guys! Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana Click to expand... Kweli ndugu, nakuunga mkono! Huyu dogo anaimba nyimbo zenye upako si mchezo, hasa huo wimbo wa Mfalme wa Amani!
BARA BARA YA 5 JF-Expert Member Joined Sep 11, 2009 Posts 1,174 Reaction score 835 Jan 3, 2010 #3 "Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana" Kweli mkuu,mimi pia namkubali pamoja na imani yangu ya urithi toka kwa wazazi wangu kuwa tofauti na yeye
"Haijalishi uko na dini au hauna lakini inafariji sana" Kweli mkuu,mimi pia namkubali pamoja na imani yangu ya urithi toka kwa wazazi wangu kuwa tofauti na yeye
Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,380 Jan 3, 2010 #4 Hivi huyu ni Mkenya au Mtanzania? Wimbo unaliwaza, unafariji kiasi chake!