Michosho JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 662 Reaction score 649 Oct 9, 2012 #1 Wadua naombeni msaada,kwani laptop yangu button tatu zimegoma kabisa kufanya kazi.Nimesafisha kwa sprit baada ya kufungua lakini bado tatizo liko palepale..Pls,naombeni msaada,huenda kukawa na njia nyingine ya kufanya tatizo langu likaisha.Thanks
Wadua naombeni msaada,kwani laptop yangu button tatu zimegoma kabisa kufanya kazi.Nimesafisha kwa sprit baada ya kufungua lakini bado tatizo liko palepale..Pls,naombeni msaada,huenda kukawa na njia nyingine ya kufanya tatizo langu likaisha.Thanks