Mimi pia nimejisajili nao, kuna sehemu ya National ID na Bank account nikajaza; Swift code nika Google nikajaza, na mazaga zaga mengine.
Sasa wakasema nijaze na website address, nikawaza mara mbili nikaweka link ya akaunti yangu ya Fiverr. Nasubiri Review, wakikosoa ndio kupata elimu zaidi.