Solution ya kumuua Mondi kama artist!!!!

Burnaboy

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2019
Posts
1,070
Reaction score
1,439
Haters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!!

Huyu Mondi anachagizwa na chuki (hate) kwenye mafanikio yake sababu anafanya kazi ya ziada kuwapiga mabao haters na kuwa prove wrong. Na mafanikio yake yanaendelea kumkuza!!!

Haters walifanya Mondi anunue nyumba south africa - alipodhalilishwa na Rich Gang ya kina Ivan Don!!Haters walimfanya aanzishe Wasafi Media na Wasafi festival!! Haters wamemfanya ateke soko jipya na kupiga aina tofauti ya mziki baada ya kuambiwa hawezi, mjanja mjanja, anabebwa, ananunua viewers nk!!!

Tukiendelea kum hate atafanya Wasafi the biggest swahili entertainment media on earth!!! Ataanzisha Wasafi Fest-Global aungane na wanigeria kwenye tours huko mbele - akiacha Wasafi Fest - Local chini ya Vannyboy nk ishindane na fiesta!! Anaweza hata kumnunulia nyumba Tanasha Kenya na kumuacha, halafu azae na mzungu na kununua nyumba Paris au US!!! Kwa kifupi haters tutafeli na atazidi kutuumiza!!!

Solution: Tumsifie tu saana ili ajisahau kujituma... Na tumpe jina la "Lejendari - king mfalme lion simba babalao"!!
Bongo kuna ma-lejendari wengi tu local....!!!
 
Hahahaaaah! Huyu jamaa akili yake sio mgando kama ya wasanii wengine ambao wakikosolewa kidogo wanatukana na kukublock!
Huyu jamaa anapita na zile chuki za watu km ndo stepping stones zake.... Hata haters wakisema wote waanze kumpenda ghafla ni lazima atatengeneza wengine kwa kufanya kituko au balaa kubwakubwa lenye gumzo mjini hapa... Watajitokeza wa kumponda tu...
Akikomaa na wale wa mawingu na wale vibakuli ni mawe tosha ya kujengea nyumba
 
Haters tunafeli wapi? Jitihada zote kum-nyamazisha zinafeli!!!!

Huyu Mondi anachagizwa na chuki (hate) kwenye mafanikio yake sababu anafanya kazi ya ziada kuwapiga mabao haters na kuwa prove wrong. Na mafanikio yake yanaendelea kumkuza!!!

Haters walifanya Mondi anunue nyumba south africa - alipodhalilishwa na Rich Gang ya kina Ivan Don!!Haters walimfanya aanzishe Wasafi Media na Wasafi festival!! Haters wamemfanya ateke soko jipya na kupiga aina tofauti ya mziki baada ya kuambiwa hawezi, mjanja mjanja, anabebwa, ananunua viewers nk!!!

Tukiendelea kum hate atafanya Wasafi the biggest swahili entertainment media on earth!!! Ataanzisha Wasafi Fest-Global aungane na wanigeria kwenye tours huko mbele - akiacha Wasafi Fest - Local chini ya Vannyboy nk ishindane na fiesta!! Anaweza hata kumnunulia nyumba Tanasha Kenya na kumuacha, halafu azae na mzungu na kununua nyumba Paris au US!!! Kwa kifupi haters tutafeli na atazidi kutuumiza!!!

Solution: Tumsifie tu saana ili ajisahau kujituma... Na tumpe jina la "Lejendari - king mfalme lion simba babalao"!!
Bongo kuna ma-lejendari wengi tu local....!!!
IMG_20191207_142002.jpg
 
Duuuu Aiseee Umetisha,Unalipwa Tsh ngapi kumpa promo DOMO?
 
kumbe sababu ya wanae muita king kutofika mbali, ni kwa sababu kaelemewa na misifa ya jina lenyewe, ama kuna sababu zingine?
 
Back
Top Bottom