INTROVERT MAN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2019
- 1,052
- 1,475
Dah!! Kweli mkuuMaisha yakulazana kwenye ma Hall ifike wakagi tuachane nayo.
kwa macho yangu me nimeona chanzo kikuu ni umeme na pia me nilikuwa mwanafunzi pia na niliona hii... kwani imethibitishwa chanzo cha hizi ajali za moto mashuleni ni umeme?