Solution ya UUME mdogo (Vibamia)

vinneboy

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2015
Posts
478
Reaction score
436
Wanaume wengi wamekuwa wakisononeka na muonekano mdogo wa uume wao, na hivyo kutojiamini kuwaridhisha wapenzi wao wakati wa tendo. Kwa wastani wa kawaida uume wa mwanaume ukiwa umedinda (when erect) ni cm 14- 16. Hii ni saizi tosha kabisa katika kumridhisha mwanamke ambaye huridhika kwa inchi mbili tu za mwanzo wa uuke wake pamoja na ufanisi wa mwanaume katika kufanya mapenzi

Taarifa nzuri ni kwamba kama hauridhiki na saizi ya uume wako kuna mazoei ya kuufanya uume wako uongeze inch 1 - inchi 3 kwa kufanya mazoezi haya.

1. Stretching exercises
Haya ni mazoezi ya kuunyoosha uume wako ukiwa katuika hali ya kawaida (haujadinda), hapa unachotakiwa kufanya ni kufanya alama ya ‘ok’ (ok sign) kwa kukutanisha kidole gumba na kidole chako cha kwanza na kutengeneza umbo la ‘O’ katikati, ingiza uume wako kwenye ilo umbo la ‘O’ hakikisha kichwa cha uume kinakuwa kimetokeza mbele (haitakiwiok sign yako iwe imekishika kichwa cha uume inatakiwa iwe nyuma ya kichwa cha uume kinapoanzia), kisha anzakunyoosha uume wako kwenda mbele (make the okay sign around the base of the penis and pushing all sides one after another)na baki katika hali hiyo(hold it for 30-40 seconds) kwa sekunde 30-40. Fanya hivyo ukinyoosha uume wako katika direction zote nne yan kushoto, kulia, chini, juu. Fanya zoezi hili kwa dk 5-6.

2. Wet Jelquing exercise
Hili zoezi linafanana na jinsi ya kukamua ng’ombe maziwa. Linafanywa kwa kupaka mafuta mgando katika uume wako, uku uume wako ukiwa umedinda 60% uwe (haujadinda sana ili kuruhusu flow ya damu) kisha kwa kutumia alama ya ‘ok’ unaanza kusukuma damu kuanzia base ya uume kuelekea mbele kwenye kichwa cha uume, ukiishia nyuma ya kichwa kinapoanzia (the blood from the base of the penis is to be milked slowly and gently towards the head). fanya hili zoezi kwa round 50, kila round moja ukitumia sekunde 2 -3 katika kusukuma damu kuelekea kwenye kichwa ukitumia ok sign. Fanya asubuhi na jioni.

[NB: kwa mwanzo utasikia maumivu kidogo kwa mbali ila unashauriwa usijiminye sana wakati unafanya zoezi hili. Pia unashauriwa unyoe mavuzi ili kuepuka kuchubuka wakati wa tendo hili] kwa zoezi hili unashauriwa utumie dk10-15 for the best outcomes.

3. Warming up
Katika zoezi hili, unatakiwa kuliweka taulo lako katika maji ya uvugu vugu kisha unalikamua na kulivilingisha katika mapumbu na uume wako (hakikisha uume na mapumbu vipo ndani ya taulo) shikilia ivo kwa dk1-2, then urudie tena zoezi hilo kwa mara tano.hii inasaidia kupasha misuli ya uume kuupa joto ili itanuke na kuruhusu flow ya damukuelekea kwenye kichwa cha uume.

Fanya hivi mara mbili kwa siku ukiweza yan asubuhi na jioni.

ZINGATIA:
Mazoezi haya yanafanywa moja baada ya jingine yani unaanza na warm up, then unakuja kufanya stretching exercise, afu unamalizia na jelquing exercise. Unashauriwa kufanya mazoezi haya mara walau mara 5 kwa wiki, yaani siku tano kwa wiki, siku zinaweza zisifatane ili kuruhu muda wa kupumzisha uume na kurecover.

Pia unashauriwa kunywa maji mengi sana kadri uwezavyo ili kuzalisha damu nyingi itakayosaidi mishipa ya uume kujaa na ku extend. Kula vyakula kama tangawizi vitunguu swaumu (somo jingine) na vyakula vya vitaminkwa wingi. mazoezi haya yanachukua kuanzia miezi miwili kuona mabadiliko ya ukuaji wa uume wako. Kwa hiyo unashauriwa uwe committed ufanye kwa miezi mitatu ili u gain 3 extra inches.
Usife moyo, inakuza uume wako.

Asanteni.
 
Halahala hiyo no.1 usije ukakatika.
 
Nipe na madhara yake mkuu

madhara inayo pale unapotumia nguvu nyingi kufanya lile zoezi no. 2 wet jelquing.. unaweza ukaufanya uume wako upoteze nguvu ya kusimama.. unatakiwa usitumia nguvu sana.. ukihisi unaumia ACHA mara moja
 
aiss kuna dalili ya mtu kuishia kupiga pool!!!na unafanya ukiwa umekaa umelala au umesimama?!
ukihisi unataka ku mwaga unashauriqa kuacha kwanza.. early ejaculation haitakiwi pia.
 
Mkuu, nasikiaga ukizoea kunywa tangawizi kuna madhara?
 
hii ndio ok sign
 

Attachments

  • 1453821400454.jpg
    9.9 KB · Views: 332
Mkuu, nasikiaga ukizoea kunywa tangawizi kuna madhara?
kila kitu dunian ukizidisha kina madhara.. kwa kesi ya tangawizi unatakiwa kutafuna kipande kama nusu ya kidole cha kwanza asubuh na jioni. au waweza kunywa kwenye chai kijiko kimoja cha chai kinatosha
 
Tafuteni mbinu za kuongeza kilicho kwenye wallet/bank

uume mkubwa bila hela utachekwa na waoshaji siku ukifa!
mbinu ni kuwa creative pia kutumia fursa zinazoonekana mtaani kwako au hata popote pale.
 
kila kitu dunian ukizidisha kina madhara.. kwa kesi ya tangawizi unatakiwa kutafuna kipande kama nusu ya kidole cha kwanza asubuh na jioni. au waweza kunywa kwenye chai kijiko kimoja cha chai kinatosha
Nimekupata Mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…