¤ solve huu msala ¤

bampami

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2011
Posts
5,699
Reaction score
4,117
>> Dem Wako Kaenda Kukutambulisha Kwao, Kufika Getini Kwao Unamkuta Dada Ake Ambae Ni Dem Wako Wa Zamani, Kidogo Unamuona Kaka Ake Ulipigana Nae Kwa Sababu Alikufumania Na Demu Wake,, Ulipoangalia Ndani Ukamuona Mama Ake Ambae Ni Sugar Mumy Wako Na Ndo Alokununulia Gari Unalotamba Nalo,, Kabla Hujajua La Kufanya, Baba Ake Anatokea Ndani Unamkumbuka Ni Wakili Aliekutetea Katika Kesi Yako Ya UBAKAJI...

Je Ungefanyaje Na Demu Unampenda Kupita Maelezo??
 
wao wakihukumu ni kukupiga chini tu.....ha ha ha
 
Hapo lazima uzimie
na kwa kuwa utazindukia hosp.
naamini lazima uhame mji.
 
Kama mwanaume lazima ukomae. Kama mbaya iwe mbaya a.k.a Liwalo na Liwe.
 
Mzee pale mbeya kuna jamaa alikula mama na binti zake wawili,
daaah
Mamndenyi
Nilikuwa namaanisha kuwa huo mkasa hauwezi kukutokea hata siku moja. Wewe ni "ke" huo msala unamhusu "me".

Ila huyu jamaa wa Mbeya alipata raha. Alikuwa hadi mzizi.
 
Last edited by a moderator:
Hapo huna jinsi but ni kuvumilia tu wacha wakuhukumu wao wenyewe na sidhani kama kuna kati yao yeyote atakaesema kitu juu yako.

nafight with my weather[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…