sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,639
- 5,767
So kuna watu wanalalamika kua profile zao ni 100% lakini wakiomba kazi, application inafaili na kuambiwa waangalie vigezo.
Kama umekutana na tatizo hili basi mi nimepata suluhisho .
Kifupi ni kua ili maombo yafanikiwe, basi ni lazima uwe ume meet “minimum requirements”.
Swali, system inajuaje hizo minimum requirements? Easy,
Wanakua na list ya vigezo ambavyo wamefiainisha kwenye system, ukituma maombi wanaangalia kama hicho kigezo kipo.
je hicho kigezo unakiwekaje?
Easy, wakati unajaza taarifa za zako hasa za kielimu, kuna sehemu ya kuchagua mfano ngazi ya elimu, course uliosoma, hizo mara nyingi zinakua kwenye list inayojulikana kama “dropdown menu”
Mfano: kama unaomba udereva na kwenye Qualification waneandika “minimum requirements is Basic driving skills”
Basi hakikisha katika vyuo unavyowema ambavuo umesomea udereva kimoja wapo unachagua “driving , kisha “basic driving skills”
Au unaomba kazi ya sheria, kwenye qualification wameandika “Minimum requirement is bachelor of law (LLB),
Hakikisha kwenye kujaza vyeti vyako una select hicho kitu.
Chochote kilichopo kwenye “minimum requirement “ ni lazima kiwepo kwenye moja ya vyeti vyako utakavyo jaza.
Nimewasaidia wengi kwenye hili suala, nineona ni common sana hivyo si mbaya niki share na nyie, wengi pia hupiga ajira portal na bado wanakosa majibu ya kuwasaidia
NOTE: mimi sio mfanya kazi wa ajira portal.
Mkufanikiwa mje mnipe maua yangu