Soma hapa inaweza kukusaidia kuondoka na kitu kichwani mwako

Hana number nyingine ambazo watu tunaweza tumia kapa Mpesa ama Airtel money?
 
Bajeti ya Matibabu ni shilingi ngapi?

Serikali inachukua jukumu gani kumsaidia, na je wameshawaona wahusika katika hilo?

Poleni sana, ila nataka pia utufahamishe bajet ya matibabu ndugu MziziMkavu. Update post yako
 
Last edited by a moderator:

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…