Soma Hapa Kama Unaweza Kuni Saidia

Joined
Apr 21, 2014
Posts
17
Reaction score
2
Tatizo Langu Ni Kuwa Na Uvimbe Mdogo Kwenye Koo Ambao Nime Dumu Nao Kwa Muda Mrefu Na Isitoshe Hauja Wahi Kuniletea Matatizo Yoyote Mpaka Sasa Kama Kuuma Nk Naomba Msaada Wa Kujua Kiundani Tatizo Langu Pamoja Na Njia Ya Kutibu Mana Naogopa Kukaja Tokea Matatizo Mengine Baadae Nb:nilikosea Mara Ya Kwanza Nika Andika Kon
 
nenda hospitali muda wote huo unaishi na ugonjwa?,??,
 
Nenda hospital kwa uchunguzi zaidi,maana uvimbe wa mda mref ktk koo husabisha ugonjwa hatari wa cancer ya koo,Mara cancer huwa inajitokeza kwenye uvimbe hivyo basi jitaidi ufike hospital kwa uchunguzi zaidi,pia nina dawa ya asili inayokwangua uvimbe wote kwa mda wiki3 tu,ni dawa nzurisana ya asili inayosaidia watu wengisana,baada ya kumaliza kutumia dozi utakuwa safikabisa uvimbe wote utaisha.kama unaidaji dawa ni pm.
 
If it is not broken don't fix it. Nenda hospitali kwa ushauri ila kama hakuna madhara, sishauri ukaanza mambo ya upasuaji au matibabu bila kupata wataalam huenda wakafanya hali ikawa mbaya zaidi kama hawatakua wanajua vizuri ta tizo lako na wakaamua kubahatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…