Dragunov Sniper
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 2,795
- 9
Makamanda na wana JF kwa mara nyingine natumia fursa hii kuwasalimia maana kitambo cjakuepo!!! Ha ha ha tuyaache hayo!!!
Katika soma yangu kwenye Katiba inayopendekezwa nimekutana na Ibara ya 280 na 281 nimevutiwa nazo sana nikaona nitupie hapa tupeane data kuelimishana,
Nazinukuu!!!
280.-(1) Katiba hii itaitwa "Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 2014"
(2) Katiba hii itaanza kutumika tarehe itakayozinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
(3) Katiba hii itatumika Tanzania Bara na Zanzibar
281.Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 inafutwa na, isipokuwa kwa masuala yaliyoelekezwa katika masharti ya mpito, haitakua na nguvu ya kisheria mara baada ya kuanza kutumika kwa katiba hii.