Soma hapa na ujue Matibabu ya Kansa

haki na usawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
485
Reaction score
138
Dawa ni tunda la msatafeli / kisayansi unaitwa Annona muricata

Mtu atumie tunda la mstafeli ili kulinda afya yake na pia kupunguza uwezekano wa kupata kansa

Na pia hamasisha jamii yako kutumia matunda hayo
 
Mkuu hapo sijakuelewa vizuri,una maana unakula staferi lenyewe? Au mbegu zake maana kama ujuavya lugha ya Taifa lakini kazi kweli kweli. Nitoe tongotongo kwenye macho ili niweze kukuelewa.
 
Kwa kiingereza Sour sop/tumia tunda linatoka katika mti wa mstafeli/fruit from graviola tree
Kwa hiyo tunda hilo ukitumia inasaidia katika magonjwa kama asthma,kupunguza high blood pressure(BP),magonjwa ya moyo,magonjwa ya ini,magonjwa ya mishipa ya fahamu,inaua minyoo(Tapeworms) ila ni watu kutokujua kuwa baadhi ya matunda ni dawa na yanaumuhimu wa watu kuyatumia
 
Mkuu hapo sijakuelewa vizuri,una maana unakula staferi lenyewe? Au mbegu zake maana kama ujuavya lugha ya Taifa lakini kazi kweli kweli. Nitoe tongotongo kwenye macho ili niweze kukuelewa.
unajuwa kansa husababishwa na nini?, bonyeza link ifuatayo ukasome kansa huletwa na nini mwilini na kwanini imeshindikana kutibika kirahisi mahospitalini: kansa | maajabu ya maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…