Jamani hebu mwenye kujua tarehe ya mwisho kupeleka barua za kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kwenda TAMISEMI ni ipi anijuze pia majina ya waliokubaliwa kuhama mara nyingi hutoka mwezi gani anijuze.Tafadhari nisaidieni hili maana kuna mdogo wangu yuko kwe process.Ahsanteni