Soma hapa tafadhali

Pelham 1

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2012
Posts
548
Reaction score
99
Habari zenu Wadau,
Naomba ushirikiano wenu kwa alie teyari
Tuna Kampuni yetu ya Marketing yenye Directors 2 inayojihusisha na Advertising,Marketing na Promotions iliopo Sinza Kumekucha.
Kampuni yetu ina takriban miaka 2 tangu ianze kazi,katika kipindi hiki tumekua tunapata kazi ndogondogo za Advertising na Marketing.
Mwanzoni mwa mwezi huu tumekutana na mdau ambae anataka kutupatia kazi ya ku-advertise brand flan..hata hivo changamoto tuliyonayo imekua ni mtaji,kwa kazi anayotaka kutupa inahitaji mtaji wa angalau million 5,kwa sasa sisi tuna nusu ya kiasi hicho,hivo tunahitaji angalau million zingine 3 ili tuweze kupewa contract ya kazi hiyo.
Kwa ambaye atapenda kuwekeza na kuwa mdau mwenzetu kwenye huu mchakato,au ana maswali zaidi tafadhali fika ofisini kwetu sinza kumekucha,au unaweza kuni-PM,au tuwasiliane kwa namba 0714-074040..!!
 
Hawatoi advance payment? mara nyingi kwenye kazi za advertising huwa wanalipia up to 70% mwanzo. Au kama ni kataba wa muda mrefu huwa kuna "progressive payments". Ikiwa hao mnaowafanyia advertisements hawawezi kumudu gharama za kazi zao hivi mkimaliza watawalipa kweli? Fikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…