Soma hapa ujionee...

Soma hapa ujionee...

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Habar wana jf,kama unatatzo lolote lnalohusiana na yafuatayo

1. Researches

- Marketing researches

- Business researches

- Academic reseaches

- Other researches

2.Company registration

3.Business ideas

Basi kutokana na vitu vilivyo andikwa hapo juu usipate taabu kama huna muda wa kufanya research juu ya swala lako au unataka kuanzsha kampuni yako lakin huna muda Kwa kubanwa na mishughuliko au labda upo mkoani au kwa matatzo hayo mengne hapo juu basi huspate shida Mtafute Shukuru Simba yy atafanya kazi yako kwa niaba yako ila kwa gharama nafuu zaidi kwa kumjar kila mtu kwa maelezo zaid piga simu namba 0788562816 au email: shukurusimba@ymail.com au pia waweza kuni pm tu tutaongea na kuelewana karbuni sana ndugu zangu
Hata wale walio mikoani karbuni sana tutafanya biashara kwa pamoja na kwa uaminifu wa hali ya juu ila kikubwa uaminifu kwanza.
Asanteni
 
Khe si ndo wewe una mtaji wa 5M na unatafuta ushauri wa biashara gani ufanye? Duuu ukistaajabu ya Mshana jr utaona ya Lio 002
 
Hii imekuja tu baada ya kuona nna ujuzi wa kufanya kitu nna elimu juu ya hivyo vitu so nina uwezo wa kufanya hivyo vitu na nikaona ni bora hyo hera niliokuwa nayo nineamuwa kufanya hii kitu coz nna ujuzi nacho ndo maana nimemuwa kufanya hyo kitu ndugu zangu nikiwa nashirikiana na watu wengne wenye ujuzi zaidi
 
Repeatition ni nyingi mno
 
Repeatition ni nyingi mno

Mi mwenyewe kaniacha hoi kama alishindwa kufanya mrkt reearch kwa maeneo anayoishi mwenyewe ili aweze invest m5 yake , anawezaje fanyia mtu mwingine research huyu analeta utani.
 
Hii imekuja tu baada ya kuona nna ujuzi wa kufanya kitu nna elimu juu ya hivyo vitu so nina uwezo wa kufanya hivyo vitu na nikaona ni bora hyo hera niliokuwa nayo nineamuwa kufanya hii kitu coz nna ujuzi nacho ndo maana nimemuwa kufanya hyo kitu ndugu zangu nikiwa nashirikiana na watu wengne wenye ujuzi zaidi
Kwa jinsi unavyojieleza tu, ninakuwa na mashaka na uwezo wako.
 
Back
Top Bottom