Una ndoto ya kufanya biashara ya rasta ila hujui wapi pa kupata mzigo wala hujui utapata vipi faida
"Nikufungue macho kidogo"
Huku kiwandani ukiwa na mtaji wa kuchukua kuanzia boksi 5 tuu bei inapoa kwenye kila rasta tofauti na yule aliechukua chini ya boksi 5
Kwa mtaji wa shilingi 425,000 unapata boksi 5 za rasta zenye jumla ya pic 500 (kila boksi ina pic 100)
Mfano hizi rasta kila mtaa zina bei yake ya kuuza wapo wanaouza
Kwa 1500
Kwa 1200
Kwa 1000
Huku kiwandani ukichukua boksi 5 kila pic moja ya rasta utauziwa kwa shilingi 850 sawa na kusema boksi zima lenye pic 100 utachukua kwa 85,000 tuu
Maana yake ni kwamba
Ukiuza kila pic kwa shilingi
1200 una 120,000 faida 35,000 kwa boksi 1
1500 una 150,000 faida 65,000 kwa boksi 1
1000 una 100,000 faida 15000 kwa boksi 1
Chukua faida ya bei utakayouza kulingana na wapi ulipo kisha zidisha mara idadi ya boksi zote 5 utapata kujua faida utakayopata iwapo utanunua boksi 5
Wale wa kuchukua chini ya boksi 5 kila boksi unauziwa kwa shilingi 90,000 likiwa na pic 100 ndani sawa na kila rasta umenunua kwa shilingi 900
Ukiuza kwa 1000 kila pic ya rasta una faida ya shilingi 10,000 kwenye kila boksi
Ukikomaa ukauza kwa 1200 kila pic ya rasta una faida ya shilingi 30,000 kwenye kila boksi
Nb
Kuna aina nyingi sana za rasta na kila rasta na bei yake
Unataka nikuchambulie kila moja na bei yake na kukupa connection ya kiwandani moja kwa moja?
Una swali lolote?
Hakikisha tunakutana kwenye group kubwa la fursa Tanzania
✅️Unatafta bidhaa yoyote ile iwe kwa jumla au reja reja wauzaji wa kila bidhaa,wenye maduka makubwa wenye machimbo ya kila bidhaa mikoa yote ndani na nje ya nnchi nnao huku
✅️Unataka kujifunza uwinga njoo huku elimu kubwa tunakupa na wauzaji wa kukupa mali za kuuza pia tunakupa buree
✅️Watu wa mikoa yote ndani na nnje ya nnchi nnao huku so ukiwa mkoa wowote unapata kila kitu kwa urahisi kama uko Dar
✅️Elimu ya kila Biashara mpaka wateja wa kununua unachouza tunao huku na tutakupa bure
✅️Una biashara ila hauna wateja njoo ujifunze na ujue kwanini hauna wateja na nini ufanye ili ushikilie wateja wako
✅️Una mtaji hujui cha kufanya au hauna mtaji
Ukiwa huku huwezi kukosa cha kukupa hela kila siku
✅️Biashara zote zinafanywa kwa uwazi mkubwa na kuna sharia kali za kulinda hela na mizigo ya wateja so ukiwa huku sahau kuibiwa sahau kupoteza mzigo wako
👉❤️Kuwa kwenye hii familia yetu kubwa ya fursa Tanzania inayokusanya watu kutoka mikoa yote ndani na nje ya nnchi
Wafanya biashara wakubwa kwa wadogo,wateja na wauzaji wa kila unachokitaka
0743 257 669
Kama wewe ni mfanyabiashara wa ambaye unachukuaga mizigo yako kariakoo group la machimbo ya bidhaa kaliakoo
Machimbo ya bidhaa kaliakoo