Huruma waonee wote waliokosa mkopo na chuo hawajakanyaga mpaka sasa ijapokuwa walifaulu vizuri na walikuwa na maadili mazuri mashuleni.Sio huyo rafiki yako ambae halikuwa hajitambui na kufanya mambo yaliyo nje na kipindi chake kwa vichocheo tu vya mwili.AACHE TU CHUO KA VIPI.
Habari za jioni wadau? Nina rafiki yangu yupo chuo ila amekosa mkopo na nyumbani kwao wamemsusa sababu alipata ujauzito akiwa shuleni amekuwa wa mawazo hata kula yake ni ya tabu anafikiria kuacha chuo! Nimshaurije na kama kuna wafadhili basi wajitokeze kumsaidia ana hali mbaya namuonea huruma!asanteni
yupo mipango dom