Soma hii story

huyu ameshamuacha tayari,maana kama ameshawaeleza washkaji zake hawezi muoa mke ambaye anajulikana tiyari mpenda tigo.jamani hii dunia imeingiliwa na firauni gani???
kwanini watu hawataki kuelewa madhara ya kiafya hii kitu na kiroho ndo balaa.
asioe huyu dada kabisa...ndugu wakitaka majibu awaambie wamwulize dada.
 
Kapenda boga........asa maua yake kwanini hayapendi?:becky::becky::becky::becky:
 

tigo express yourself mdhamini wa chochote kile unachokipenda
 

Au labda ni kaudhaifu kakutojua mwisho wa mchezo matokeo yatakuwaje, kamleteako binadamu tamu tamu ya kufuatilia mchezo mpaka mwisho.

Si agunaye ****** hata kama kajikwaa huko msalani , atashukiwa tu anaguna kwa sababu anakwenda starehe kubwa?
 
Laiti huyo jamaa angekuwa ni mtu wa dini asingefanya mapenzi kabla ya ndoa.
nadhani amefanya dhambi ila hiyo dhambi imekuwa kama maono amefunuliwa matatizo ambayo kwenye ndoa ingekuwa ameshachelewa
 
Amwache kabisa huyo dada hafai tigo?? ni tambia mbaya sana kabisaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
kuna namna 2 tu za kukabili matatizo.

1. Akubaliane na hilo tatizo ( thats akubali kutumia hiyo network)
2. Atatue tatizo (thats, afikirie namna ya kumsaidia aache matumizi ya hiyo network)

Simshauri aitumie hiyo network, especially kwa mtu anaetegemea kumuoa, ila maadam kampenda na kapanda bei kumuoa, basi amsaidie aache na sio amuache. Hatakama hatamuoa, basi amsaidie aache for the sake of her future.
 
Huyo kijana nae ana mapungufu,sidhani kama mtu wa dini anaweza akawa mzinzi,asitudanganye bwana,yeye alipashwa kutafuta mchumba kwanza,amchunguze vile atakavyoridhika kulingana na maadili ya dini yake inavyomwelekeza huku na yeye akiwa anaandaa mazingira ya kumtahadharisha na tabia hizo au kuonyesha kukemea hizo tabia za U-tigo pale anaposikia watu wanafanya hivyo,amuoneshe yule binti kwamba hapendi na pindi atapogundua tabia hiyo ipo kwa mkewe basi yuko tayari kufunja ndoa,nadhani hiyo ingesaidia,then akiridhika na tabia za binti huyo afuate taratibu za kuoa.

Na kama akija gundua kwamba huyo mkewe ni mwenda kinyume na mafundisho ya dini yake, basi amuache.Maana naimani kama atanza kuonya hizi tabia kabla hajamchumbia,naimani hatopata mtu mwenda ovyo.

Pole sana mdogo wangu kwa yaliyokupata.

Hivi sasa unachotakiwa kwanza tubu dhambi ya uzinzi halafu achana na huyo binti hakufai,utakuja juta kabisa huko mbeleni.
 
hiyo ya kumsaidia kuacha sidhani kama itafanya kazi maana mtu anaweza kukwambia kaacha kumbe bado anasuguliwa na wengine maana nadhani ni addiction kama pombe au drugs mtu anaweza kusema kaacha ila kuna nguvu nyingi ne ya addiction inamsukuma na anashindwa kuvumilia lol njia nzuri hapo ni kuumwaga tu
 
Laiti huyo jamaa angekuwa ni mtu wa dini asingefanya mapenzi kabla ya ndoa.

Kati yenu kama kuna ambaye hakufanya mapenzi kabla ya ndoa na aanze kuwarushia jiwe hawa ndugu
 
kwa nini wanafanya mapenzi kabla ya ndoa? wazinzi wakubwa hao

eti wako wachumba, kweli huo ni uchumba lakini ni nje ya taratibu za Mungu,
hapo wazifuata tamaa za miili yao tu huku huyo jamaa anadai ni mshika dini
anang'ang'ania dini ya nini badala kuwa mshika maagizo ya Mungu,
 
Laiti huyo jamaa angekuwa ni mtu wa dini asingefanya mapenzi kabla ya ndoa.

jamani maisha ya siku hizi wanaume wote wanafanya mapenzi na wanawake zao kabla ya hawajaamua kufunga ndoa so tusimlaumu huyo jamaa na wanawake zaidi ya asilimia sitini wanaolewa na vitumbo....tena kanisani kabisa....bisheni!
ila inaonekana hao watu hawa match kabisa huyo mdada hana aibu na ni malaya aliyeshindikana..........huyo mkaka kampatia wapi huyo mdada?atujuze ila naamini hajampata decent place.....itakuwa bar,casino au maukumbi ya starehe..............mwambie aje J.F tumtafutie mke mwema!
 
Kweli kabisa akimbie tena speed 120. Ana bahati sana ametenda dhambi yenye faida kwake maana kutokana na dhambi hiyo amegundua udhaifu wa huyo dada. Ili kuinusuru ndoa tarajiwa ni vema akamwacha kabisa huyo dada maana inaonekana ndio tabia yake. Huyo jamaa asijali mahari aliyotoa. Waelezane ukweli amuache kabisa atafute mtandao thumni kwa sekunde na sio huo mtandao mwingine. Hayo ni mawazo yangu tu.
 
NAKUBALIANA NA WALE WALIOSEMA HAKUNA MKE HAPO..HUYO NDO ANATEGEMEA AWE MAMA WA WATOTO WAKE ?:confused2:
 
Sasa hapo mjadala wa nini wakati anajua cha kufanya?Ni kumtema tu na kuangalia ustaarabu mwingine kwani mchezo wa namna hiyo hauwezi hivyo aachie ngazi awape nafasi wengine waliozoea kumwendea atakako.
 
hapo kwenye bold hapo, kwanini anaonja kabla ya ndoa, hata hivyo siyo mbaya amegundua mapema, hapo ni kusepa tu
 
1. Hoja zisichanganywe.... Jibu hoja kwa hoja... Kwamba wamefanya mapenzi kabla ya ndoa isituchukulie muda hapa na sicho kinachojadiliwa.... kinachotakiwa ni kutoa ushauri kwa tatizo .... !!

2. Msuhukru Mungu kwa kugundua jambo hilo before total commitment to her.... ungeingia gharama kubwa spiritualy, physicaly and emotionaly kugundua hayo ndani ya ndoa... kwa sasa MUACHE MARA MOJA!!

3. Lakini this is very strange... huku wanawake wengine wakililia hali hiyo ndani ya ndoa zao .... ndoa nyingine zinavunjika kwa kuwa wanawake hawataki upuuzi huo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…