Asante ndiyo hali halisi katika ndoa .wanaume wengi wanapotezwa na kusahau familia zao na wanawake wa nje.ni jukumu la kila mmoja kwa wanandoa kuifanya ndoa iwe yenye furaha na siyo karaha.Kadiri mnavyozidi kuishi mzidi pia kubuni njia za kuifanya ndoa yenu iwe yenye amani, baraka, furaha na upendo kwa watoto
Hilo ni tatizo kubwa sana na hii inatokana na ukweli kwamba binadamu sikuzote mawazo yao yametawaliwa na makusudi mabaya na huwaza kujifurahisha mwili wake kana kwamba mwili utaishi milele.kwa mwanaume kuanza kutembea nje ya ndoa yake ni ujinga mkubwa na ndiyo maana haoni aibu kuanza kumfanyia visa mkewe bila sababu