Soma kilichotokea wanandoa wakifanya mapenzi japan ujifunze kitu

Soma kilichotokea wanandoa wakifanya mapenzi japan ujifunze kitu

barikiwa

Senior Member
Joined
Dec 4, 2018
Posts
145
Reaction score
263
Hii imetokea Japan. Wanandoa walikuwa wanajiandaa kufanya mapenzi, ghafla wakaanza kubishana,,,

Mume: "sukitaki mojitaka"

Mke: "kowanini mowi janakpta"

Mume (kwa hasira): " toka anji rodi roumi yakoo"

Mke akapiga magoti akaanza kuomba msamaha "mimi nakoundinda tinkonji"

Mwone! Kweli umekaa kwa umakini kabisa unajaribu kusoma kijapan. Wewe kuna Mjapan yeyote unayemjua? Au kwa kuwa umeona neno mapenzi tu. Unahitaji msaada wa maombi aisee!
 
Hapo nimeambulia kuona "Mke" Mume".

Mengine nasubiria kwa Mkandala Rufufu akitafsiri
 
Aisee!! mwanamke ndie alie kuwa na kosa asa kwa nn alimwambia mumewe ni kiba100...Ila nimelpenda jbu la mumewe amejibu kiustaraabu tena fikirishi😎😎😎😎
 
ripoti wakitoa wazungu za kutuhusu sisi waafrika. mnaanza kuwaona wabaya

kumbe reseach wanazipataga hata kupitia thread kama hizi
 
Back
Top Bottom