chavalla
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 451
- 354
SOMA KISA HIKI
Ikiwa yapata dakika 45 toka ndege ilipotoka uwanja wa ndege,ndege iliyokuwa imebebe zaidi ya abiria 400.
Ikasikika sauti toka kwa rubani ikisema,injini moja haifanyi kazi na iliyobaki haina nguvu kabisa ndege itaanguka muda wowote,hivyo kila mmoja atumie muda huu kufanya maombi ya mwisho na kuombana msamaha kabla ndege haijaanguka ili mfike mbinguni salama.
Woga na utulivu mkubwa ulitawala ndani ya ndege.
Benson na Doreen kama mume na mke walikuwa ni moja ya abiria waliokuwemo ndani ya ndege.
DOREEN:mume wangu naomba unisamehe,yule Aivan sio mwanao ni wa yule mlinzi wetu wa getini,na hata kipindi umetekwa wakati umetoka kufuata pesa benki ule mpango niliufanya Mimi ili nipate hela ya ada ya boyfriend wangu alikuwa anasoma chuo kikuu.
BENSON;Wala usijali mumy,unisamehe mimi pia maana nishatembea na wadogo zako wote,kuanzia mdogo wako Dorcas,Airin,Secilia na Happy,Airin na secilia wametoa ujauzito wangu lakini Happy yule mtoto wa mwisho ni wa kwangu japokuwa baba yake anasema wamefanana na mwanetu Karen hii ni kwa sababu mwingine ni mtoto wa mama mkubwa mwingine wa mama mdogo,Unakumbumbuka ile pesa tuliyouza nyumba ile kubwa alafu nikasema nimedhurumiwa na pesa ikapotea?ile pesa haikupotea ila niliitumia kumnunulia nyumba rafiki yako mpendwa Angel,unayefanya nae kazi,kwa sababu wale watoto wake wawili ni wangu,
Basi watu wakawa bzy na kufanya maombi na kuombana misamaha.
Ghafla ikasikika sauti kutoka kwa rubani;asanteni kwa maombi yenu hali ya ndege imetengamaa tutafika salama
Mioyo ya watu ikashtuka kwa kasi,sauti zikatoka kwa kishindo tokwa abiria wakisema; We rubani usitutanie,tena usipende kutuzoea, wewe umesema hii ndege inaanguka muda sio mrefu,sasa iweje unageuza kauli ghafla?tunasema ndege lazima ianguke kama unashindwa kuiangusha tunaiangusha wenyewe.
Share
Nakutakia siku Njema, Mungu Akubariki na kukulinda
Usisahau ku LIKE ..