Soma kitabu cha Robert Kiyosaki "Guide to investment"

komeka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2013
Posts
1,072
Reaction score
403
wadau kwa mjasiriamal au yoyote mwenye nia ya kujikomboa kiuchumi asome hiki kitabu ajifunze how to be a good investor ni kitabu kizuri sana
 
Bei gani? Asante kwa taarifa nzuri yenye nia ya kuelimishana.
usipate shida ya kukifata Posta mimi naweza kukutumia sasa hivi cha msingi uwasiliane nami. japo utanirudishia gharama ya elfu 5, nakupatia kwenye softcopy pamoja na audiobooks. mawasiliano zaidi +255715805600.
pia nina vitabu vyote vya robert kiyosaki na vingine vingi kwa ajili ya kupata motisha na kujifunza jinsi ya kuwa msaka pesa na mafanikio
 
me ninavitabu viwili vya robert kiyosaki cha kwanza ni poor dady and rich dady na cha pili ni guide to investment na vingine vingi na vyote ni soft copy . Kwa yoyote atakayeweza kunifuata nilipo ntampa kwa free. Napatika Arusha ungalimited. Tushirikiane kujenga nchi yetu
 
Naomba unitumie kwenye Hii email
sonaraali@yahoo.com
Tanx mkuu
 
mimi pia ni mwandishi wa vitabu. kwa kukusaidia, sijui kama unafanya biashara au la, kama haufanyi biashara, sawa unaweza kutumia watu kwa soft copy. ila kama unafanya biashara, the moment ukiwatumia watu walau 20 tu, ambao wapo humu jf, hutauza tena, kwasababu watu watakuja kukipost hapahapa jf na kutumia watu bure, then wewe utakuwa hauna umuhimu tena. mfano; ukinitumia mimi iyo soft copy, kwenye thread yeyote ya investment, nitapost kitabu hicho ili watu wakisome, watadownload hapa jf bure, na wewe watakushangaa kwanini unauza. ni wazo tu lakini.
 
mie nitakuja kuchukua wiki hii halafu nitawaleta watu humu maana kuna vitu tunasaidiwa humu ambapo kama ni kutafuta utaalam huo gharama tusingeweza kwa wengi.Nitakupigia simu wiki nikikanyaga posta
 

kaka ntashukuru sana kama utanitumia kwenye email yangu. Mbegasadik@gmail.com
natanguliza shukrani zangu kaka.
 
thanks.
 
Tatizo kwa vitu vya bure watu hawathamini. rahisi aghari jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…