Soma kitabu cha Robert Kiyosaki "Guide to investment"

wadau kwa mjasiriamal au yoyote mwenye nia ya kujikomboa kiuchumi asome hiki kitabu ajifunze how to be a good investor ni kitabu kizuri sana

poa mkuu. PDF hamna kwani?
Kama unacho si uscan tu hapa ushee na wadau mkuu..
Tehe tehe tehe tehe tehe.....
Maisha ni ku share na jirani yako bhana
 
kama unania ya kusaidia wenzio vitabu na tena vikiwa ni soft copies si uviweke hapa hakuna sababu ya kuzungusha wenzio kwa nia ya tamaa ya kupata kitu kidogo.viwekeni hapa watu waendelee kujifunza.
 
tunavyo vitabu vyote za watunzi wafuatao:

1. ROBERT KIYOSAKI
2. NAPOLEON HILL.
3. BRIAN TRACY
4. DALE CARNEGIE
5. ZIG ZIGLAR
6. na wengineo wengi

vitabu hivi vipo katika audio vinapatikana dsm na mikoani kwa ujumla,pia tunakuletea pale ulipo dsm.
hata mikoani tunakutumia kwa basi au DHL.

wasiliana nasi au oda leo :
0656 579305
0684 579305
 
Wapo watu wasiopenda kusoma wanaokosoa usomaji wa vitabu hivi. Hoja yao kubwa ni eti pesa hazipo vitabuni na kwamba vitabu hivi ni kujiburudisha nafsi tu na hakuna lolote.

Nikiri kwamba nilipoanza kusoma vitabu vya Robert Kiyosaki nilionekana kwa wapenda Fiction kama natafuta faraja. But I read on.

Rich dad poor dad
Cashflow Quadrant
Why we want you rich
Guide to Investment
Retire Young Retire Rich
The Bussiness of 21st century na kadhalika.
Lakini hatimaye I began to see the change.
Kweli vitabu hivi vimebadili kabisa maisha yangu. Vilianza na kugeuza attitude yangu kwa mambo ya fedha na baadae nikaanza kutendea kazi. Nimeona mabadiliko. Its practical.

Kama una tabia ya kusoma unaweza kutafuta vitabu vya Stephen Covey ambavyo kwa kweli nimeona impact kwa mwenendo wangu.

7 habits of highly effective people
7 habits of highly effective FAMILY
The 8th habit
First things first
The speed of trust

I value people who share knowledge.
 
Kitabu cha GUIDE TO INVESTING CHA ROBERT KIYOSAKI nadhani ni hiki hapa chukueni mkasome,mie nimesoma mwanzoni tu nimekipenda kina ukubwa wa 11.76 MB

Ubarikiwe sana, nimekipata!
 
Naomba uandike bei za Audio books na hata vingine hvyo pia, mie ni mdau pia wa Entrepreneur Gurus!!
 

mkuu naweza pataje hata kitabu kimoja tu kwa soft copy? maana nipo very far na kwa hard copy itakuwa ngumu, please kama unaweza niattachia kwa email walau kimoja tu itakuwa VIZURI kupitia email yangu jerrytimo@yahoo.com
 


ninavyo katika audio, vinapatika MIKOA yote Tanzania. wasiliana 0684 579305, email: wigotz@gmail.com
 
download idm halaf kadownload youtube audio books nyingi zipo you tube
 

Naom eni mnnue kitab u hqlisi na sio cha ku download. Ukinunua ha lo isi utapata kitu zaidi kwa kua umegharamia. Kinauzwa 30,000
 
Unataka kuviuzaa ulivitunga wewe acha tamaa wewe, nikiipata nafasi nitaviweka hapa hapa waaatu wavipakue, wewe umelipia kiasi gani hapa JF kutangaza kuwa unauza vitabu hivyo
 
Nirushie Na Mimi Mkuu Kwa Email hii .....mgalulamasoudlyobah@yahoo.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…