Soma kiumakini utapata jambo la maana

So hao tuwaite ni team anasi?
Hapana, ila katika viungo vyote kama kama vile Brain, Heart, Lungs, na Stomach, vinadai kuwa wao ni muhimu zaidi katika kudumisha uhai wa mwili, arse na yeye hakutaka unyonge na ujasiri mkubwa akawaambia wengine ye ni muhimu sana kazi yake ni kuondoa taka na kudumisha usafi wa mwili anasema kwamba bila yeye, mwili ungejaa sumu na uchafu.

Na ukiangalia ni kweli,
 
Paradox
 
So point ni Gani hapo mkuu
 
Kuna version ya hii joke ambapo huyo Arse aliamua kufunga na kukawa hakuna mzigo kutoka. Mwishowe mwili wote ukawa sick, Kila kiungo kikashindwa kufanya kazi, mpaka vilipomkubali huyo Arse na kumpa heshima yake, mzigo ukafunguka.
 
Arse kwani ndio anus ama
 
So point ni Gani hapo mkuu
Point ni kwamba katika kampuni au team work, au tuseme kampuni ya kutengeneza bidhaa flani, kuna engineers, designers, managers, marketers, walinzi, operators ,n.k

Katika kampuni, baadhi ya vitengo hujiona vya muhimu zaidi kuliko vingine. Kwa mfano, wahandisi wa umeme wanajivunia elimu yao kubwa ya teknolojia, na vilevile wahandisi wa programu wanaweza kudhani kuwa bila wao bidhaa haiwezi kutoka. Hata hivyo, kuna muhimu pia kwa idara za masoko na uundaji wa muonekano wa bidhaa. Simu nzuri inaweza kutengenezwa kiufundi, lakini ikiwa muundo wa nje au uuzaji hautazingatiwa, haitauza kwa wingi

Ndivyo nimeelewa, hapo arse alidharaulika lakinikawaambia kazi yake ni muhimu katika mwili, ni ama walikuwa wanagombea uongozi na kila mmoja kumwaga sera...
 
Kuna version ya hii joke ambapo huyo Arse aliamua kufunga na kukawa hakuna mzigo kutoka. Mwishowe mwili wote ukawa sick, Kila kiungo kikashindwa kufanya kazi, mpaka vilipomkubali huyo Arse na kumpa heshima yake, mzigo ukafunguka.
Arse kwani ndio anus ama
euphemism
 
Kuna version ya hii joke ambapo huyo Arse aliamua kufunga na kukawa hakuna mzigo kutoka. Mwishowe mwili wote ukawa sick, Kila kiungo kikashindwa kufanya kazi, mpaka vilipomkubali huyo Arse na kumpa heshima yake, mzigo ukafunguka.

euphemism
Ok
 
A system is a set of things/components working together to achieve a certain goal. If one component is missing then the whole system collapses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…