Soma maelekezo

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564
Mwalimu alitoa mtihani kwa wanafunzi wa kidato cha nne. Ukiandika jibu hamna kufuta au kukata.

Swali la kwanza,
Taja vyakula vi3 ambavyo ukienda hotelini umelipiwa utapenda kula (marks 1)
WAVULANA wakajaza;
wali, ugali, mihogo. WADADA wakajaza; burger, pizza, egg chop. Swali la 2: Eleza jinsi ya kupika kila chakula ulichotaja hapo juu. (marks 99)
wacha wadada waanze kuhangaika kukata majibu ya mwanzo.
 
Hahaha correction fluid si zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…