Elections 2010 Soma ujumbe huu

Chimunguru

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2009
Posts
10,678
Reaction score
4,370
Kupitia e-mail yangu ya kazini nimetumiwa ujumbe huu

Wakinge uwapendao na CCM vunja ukimya zungumza na mwenzio chagua CHADEMA, okoa Taifa lako na mafisadi badili mfumo kwa kura yako.
CCM HAIKUBALIKI!!”
 
Kupitia e-mail yangu ya kazini nimetumiwa ujumbe huu

Wakinge uwapendao na CCM vunja ukimya zungumza na mwenzio chagua CHADEMA, okoa Taifa lako na mafisadi badili mfumo kwa kura yako.
CCM HAIKUBALIKI!!"

Haikubaliki kweli. Nimesambaza mkuu.
 
Umeshahau kumalizia "UJUMBE HUU UNALETWA KWENU KWA HISANI YA WATU WA......:becky::becky::becky: malizia mwenyewe
 
Haha huo ujumbe unasambazwa kama njugu sasa hivi, tehe mafisadi lazima wang'oke
 
Kupitia e-mail yangu ya kazini nimetumiwa ujumbe huu

Wakinge uwapendao na CCM vunja ukimya zungumza na mwenzio chagua CHADEMA, okoa Taifa lako na mafisadi badili mfumo kwa kura yako.
CCM HAIKUBALIKI!!"

Mkuu ujumbe unatembea sasa kwenye ma-email
 
Ni ujumbe mzuri sana,
ngoja nisambaze kwenda namba zote zizoko kwenye simu
kupitia e-mail yangu ya kazini nimetumiwa ujumbe huu

wakinge uwapendao na ccm vunja ukimya zungumza na mwenzio chagua chadema, okoa taifa lako na mafisadi badili mfumo kwa kura yako.
ccm haikubaliki!!”
 
Ungemalizia hivi ningefurahi zaidi....S"AMBAZA UJUMBE HUU,USISAMBAZE UKIMWI"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…