SOFTWARE Soma vitabu vya kiswahili kwenye hii app

Soma kitabu cha Shamba la wanyama, tafsiri ya The Animal Farm, Goerge Orwell, 1945.unaweza kusoma hiki na vingine vingi kwa kuistall app yetu(maktaba app by pictus) ma kusubscribe kwa Tsh 6,000. Hiyo itakuwezesha kusoma vitabu kwa mwaka mzima.

 
Jisomee kitabu cha Ally Mbetu: Sura ya mtu roho ya shetani ndani ya app yetu.

Kwanza kabisa natubu mbele ya muumba mbingu na nchi. Sijui hukumu yangu mbele yake kwa yote niliyotenda. Pili wifi na kaka yangu kwa kupitia mateso makubwa ambayo siamini binadamu kama mimi kufanya ukatili kama ule. Kila nikifikiria nakosa amani ya moyo. Nilijifananisha na shetani, kiumbe kisicho na huruma kwa wanadamu.

 
Mimi ni mwandishi wa vitabu nitanufaika vipi nikiweka hadithi yangu kwenye App yenu?
Bahati mbaya mkuu hatuuzi kitabu kimoja kimoja na hatuna bajeti ya kumlipa mtu kuweka kitabu chake.

Pamoja na hayo, nitumie sample ya kazi yako nione, labda tunaweza fanya kitu.
 
Hekaya za Abunuwasi na hadithi zingine. Soma hadithi hamsini ndani ya kitabu hiki. Install app yetu ya maktaba by pictus(link kwenye post no 1) na subscribe kwa tsh 6,000 kwa mwaka ujisomee vitabu vyote vilivyomo.
 
Mkuu weka sample hata kimoja humo nione jinsi vilivyo .

Pita hiyo link mkuu usome kimoja hiki.
 
Orketeemi
 
MTU AMBAYE ALIPANDA MITI
Riwaya hii, inasimulia maisha ya mtu mmoja mkaazi wa milima ya Alps huko UfAransa. Aliyeamua kupanda miti kwa miaka 40. Kiliandikwa mwaka 1953.

Ni kitabu kizuri kilichotafsiriwa kwa zaidi ya Lugha 13. Mara Consult limited wamekitafsiri kwa kiswahili.

 
hiki kitabu kizuri sana.. usisite kumkaribisha Pete hapa jukwaani, kinakidhi hadhi za kina chinua achebe nk . ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…