Somaaa hapaa ww uliosahishiwa upya matokeo ya f4

Somaaa hapaa ww uliosahishiwa upya matokeo ya f4

mohammad_othar

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
247
Reaction score
42
Kama wewe ni FORM 4,na
Matokeo ya kwanza ulipata
Division 0 lakini baada ya
Baraza la Mitihani kusahihisha
upya umejikuta umepata
Division 1 basi wewe ni mmoja kati ya Maajabu 9 ya Dunia,na
una uwezo kama kungekuwa
kuna kuzaliwa Upya,kama ni
Mwanaume basi ukizaliwa
upya ungezaliwa Mwanamke
maana kutoka ZERO hadi ONE ni sawa na kutembea kwa
mguu kutoka Sumbawanga na
kujikuta uko LONDON
 
Kwani kuna mtu imemtokea hiyo, au ni muendelezo wa tamthilia ya kusadikika?
 
Back
Top Bottom