mtembea kwa miguu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2012
- 1,121
- 1,735
HahahhahaEngineer somaaa iyoView attachment 974369
Poa nimeipata sasaHuwa inachukua muda we kaa kisha baadae angalia kwenye vitu ulivyodownload utaikuta. Au kama vipi tumia Browser kuingia jf kisha download fasta utaiona.
Umeona sasa haya kafute namba yako pale juu haina kazi tena. #04Poa nimeipata sasa
π...Umeona sasa haya kafute namba yako pale juu haina kazi tena. #04
Unaipeleka wapi mkuu..au unamtumia bwana Jiwe??Poa nimeipata sasa
Jiwe atakuwa ashaipata. Hahahahahha. SOOMA IYOOO.....Unaipeleka wapi mkuu..au unamtumia bwana Jiwe??
mwambieh yule aliyeqoute # yako aifute ili # ipotee maana umefuta comment bt ile # yako bado ipo kwenye postJiwe atakuwa ashaipata. Hahahahahha. SOOMA IYOOO.....
Saguda47Kali ya mwaka, mnamchonganisha RC na boss wake [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Saguda47
Naomba unisaidie kufuta post yako uliyo quote namba yanguSema boss
Naomba unisaidie kufuta post yako uliyo quote namba yangu
Tayari mkuuNaomba unisaidie kufuta post yako uliyo quote namba yangu
Poa asante mkuuTayari mkuu
Poa asante mkuuTayari mkuu