Anahitajika mtu mwenye ujuzi wa kutafsiri Kisomali kwenda Kiingereza.
Ni kazi inaweza kuchukua hadi miaka mitatu na malipo sio mabaya.
Kwa mfano, ukurasa mmoja wa maneno 450 ni TZs 32,400.
Anaye hitaji au kumfahamu mtu mwenye uwezo, amjulishe (na) awasiliane na mimi kwa PM.
Mkuu hakuna tatizo, lakini nimesema hii kazi unafanya nyumbani, ofisini au hata juu ya mwembe muhimu uwe na kompyuta na internet tu.tuma advance basi ya maandalizi........
Mkuu hakuna tatizo, lakini nimesema hii kazi unafanya nyumbani, ofisini au hata juu ya mwembe muhimu uwe na kompyuta na internet tu.
Hata hivyo ikiwa unataka advance, naomba uniwekee hapa Bank Account yako au Credit Card yako, (usisahau kuweka secret number ili niweze kukufanyia transaction - lol).