SOMALI hawataki kutambuliwa kama Waafrika, WAARAB hawataki Watambua Wasomali kama ni wenzao

wasomali bwana yani wanajiona kama waarabu si bora wangejiona wa Ethiopian na wa sudani.
 
Mbona kawaida TU hata wazenji wanajikuta ni waarabu wa dubei
 
Hata Kuna wale vijana wa kile kisiwa huwa wanafurahi sana ukiwaambia wao ni waarabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…