Somalia Arrests minister of security of Jubaland

Tony254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2017
Posts
16,017
Reaction score
16,431
Somalia wamekataa kukubali kuwa Madobe kashinda uchaguzi. Sasa wameanza petty harrasment lakini Madobe anabaki mamlakani chini ya ulinzi wa Kdf wapende wasipende.



  1. Home
  2. News
  3. East Africa
Somalia arrests Jubbaland minister
MONDAY SEPTEMBER 2 2019




Somalia police have arrested Jubbaland State Security Minister Abdirashid Hassan Abdinur for "serious crimes". PHOTO | FILE | NATION MEDIA GROUP
In Summary
  • Jubbaland State Security Minister Abdirashid Hassan Abdinur was arrested for "serious crimes" arriving in Mogadishu from the Ethiopian capital Addis Ababa, police said without giving details of the charges.
  • The minister's arrest comes at a time of rising tensions between the Somalia federal government and the government in Jubbaland and their respective foreign backers.
ADVERTISEMENT

By AFP
More by this Author
Mogadishu,
A minister from Somalia's semi-autonomous Jubbaland state has been arrested in Mogadishu, Somalia police said on Sunday, in a case underscoring tensions with federal government.
Jubbaland State Security Minister Abdirashid Hassan Abdinur was arrested for "serious crimes" arriving in Mogadishu from the Ethiopian capital Addis Ababa, police said without giving details of the charges.
But in a 2017 United Nations report, the minister is accused of ties to torture and human rights abuses between 2014 and2015.
"Yesterday, Somalia police forces arrested Abdirashid Hassan Abdinur, who has been accused of series crimes," Somalia police deputy chief Zakia Hussen tweeted, saying the minister was under investigation.
Jubbaland's administration called the arrest "illegal" and a "kidnapping"
 
Mm sielewi, hiyo buffer zone so called jubaland, is it your new neighbours btn Kenya and Somalia buffering you guys from al shabab
 
Muda sio mrefu majeshi ya Somalia kwa msaada wa Ethiopia wataivamia na kuitwa jubaland
 
Kenya jiandaeni na vita dhidi ya Ethiopia ndani ya Somalia, hii vita inaonekana inakuja kwa kasi sana.
 
Rais Farmajo anajuta sana kuanza figisu dhidi ya Kenya mapema mwaka huu kabla ya uchaguzi mkuu kule Jubaland. Itabidi tujibu kwa niaba ya Rais Sheikh Madobe kwa kumkamata kiongozi mmoja wa serikali ya Mogadishu hapa Nairobi. Maanake vikao vyao vyote vya serikali huwa wanavifanyia Nairobi kwa uoga wa kulipuliwa na Alshabaab huko kwao Mogadishu.
 
Kenya jiandaeni na vita dhidi ya Ethiopia ndani ya Somalia, hii vita inaonekana inakuja kwa kasi sana.
Utangoja sana, vita vikizuka labda viwe kati ya Jubaland na Somalia. Somalia hawana huo ubavu wa kupigana vita na kila mtu, maanake kule kaskazini Somaliland nao wanangoja mwanya wa kuihujumu Somalia. Puntland nayo inataka kujiondoa Somalia na kujitangaza kama taifa huru.
 
Hivi huwa ukijibu unatumia akili au tumbo?, badilika kidogo ili angalau pawepo na " meaningful discussion ", inafika wakati tunapoteza " interest" ya kujibu.

Mimi nimesema Kenya ijiandae kupigana vita na Ethiopia ndani ya Somalia, wewe unajibu kwamba Somalia haina uwezo wa kupigana vita, wapi nimesema Somalia ndio itapigana na Kenya?
 
Kitambo that Jubaland was part of Kenya, ikapeanwa after indepedence. I suspect watarejoin kenya someday
 
Aisee, nimekueleza kwamba vita vikizuka Somalia labda iwe kati ya Somalia na Jubaland(na sio Ethiopia na Kenya). Alafu ndio nikakueleza kwanini hata Somalia nayo haina ubavu wa kujitosa kwenye vita na taifa lolote lile. Very simple, kama aeiou. Au ulitaka nikuchoree kibonzo ndio uelewe? Alafu hakuna mtu ambaye amekulazimisha ujibu.
 
Boss, Hii map ndio idi amin alisema Uganda imefika hadi nakuru (kenya) ? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hawa wazungu walisababisha Disaster Africa, kuunganisha makundi yasiyo na uhusiano wowote na kuyagawanya mengine ya jamii moja

Kenya na Uganda ilifaa kuwa nchi moja bila North Eastern of Kenya, hii nayo pamoja na Ogaden ingekuwa tu Somalia..
Wamasai wa Kenya na TZ wangefaa kuwa kwenye nchi moja either KE or TZ

Mpaka wa leo Wasomali wa Kenya hawajioni kwamba wao ni Wakenya, moyo wao upo Somalia...
Hata kukiwa na mgogoro na nchi ya Somali wao huunga mkono Somali...

This is a disaster in waiting.
 
Ulipaswa ujenge hoja kuonyesha kuonyesha kwanini Ethiopia na Kenya haviwezi kuzuka, badala yake unazungumzia kuhusu Somalia kwanini haiwezi kupigana, " Subject"ni Kenya na Ethiopia, wewe unaeleza kwanini Somalia haina uwezo wa kupigana. Jipange kabla ya kujibu, punguza "Mapepe".
 
Kenya jiandaeni na vita dhidi ya Ethiopia ndani ya Somalia, hii vita inaonekana inakuja kwa kasi sana.
Unangoja kwa hamu Kenya itwangwe muipiku kiuchumi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ endelea tu utakufa masikini.
 
Unangoja kwa hamu Kenya itwangwe muipiku kiuchumi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] endelea tu utakufa masikini.
Hahahaha, Hahahaha, Ethiopia haina uwezo wa kuipiga Kenya.....Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha, Hahahaha.

Waingereza wapo na kambi zao ndani ya Kenya watawasaidia...haaaaaaaaaaa.
 
"Without K. D. F Jubbaland people will be lost". This was the slogan during yesterday's demonstration in Kismayu. This shows how Kenya is everything to Kismayu people.
 
I disagree, they are patriotic af, najua a couple of them
a couple out of a million, enda pale facebook kwa news channel za kenya kama NTV or Citizen wakati kuna news za KenyaVS Somalis uone...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…