Somalia Arrests minister of security of Jubaland

The war will be between Jubbaland and Mogadishu and not Kenya and Ethiopia. See how Jubbaland is worshipping Kenya.
 
Kenya jiandaeni na vita dhidi ya Ethiopia ndani ya Somalia, hii vita inaonekana inakuja kwa kasi sana.
Hii taarifa sielewi hapo inasema ''Minister Abdirashid Hassan Abdinur was arrested for "serious crimes" arriving in Mogadishu from the Ethiopian capital Addis Ababa, police said without giving details of the charges. ''

Huyo waziri wa usalama wa Jubaland alikua amesafiri Ethioipa kwa mazungumzo na serekali ya Ethiopia ,,, sasa wanamshika kwanini wakati alikua ameenda kuongea na Ethiopia ambayo inaunga mkono serekali ya Mogadishu???
 
Jubbaland knows what Kenya has done to her and they have stayed loyal to their redeemer.
 
Acha ujuha wako wewe. Mada hii ni kuhusu nini, kama sio Somalia na Jubaland? Mimi nimejibu hoja yako ya kipumba kwa sentensi moja fupi kisha nikarudi kwenye mada. Hiyo inaitwa focus, take notes.
 
Kenya is the only one the decides what to be done in Jubbaland. Somaliland is also on our side.
 
Wasomali wanajiona wapo kimakosa huku Africa, wao hujiona ni waarabu.
Wasomali kutoka Somalia huwa na matusi sana. Kwanza ile website yao Somalispot. But the ones in Kenya, native to Kenya hawana those complexes. They see themselves as Kenyas. They have little or no attachment to somalia. Labda sympathisers here and there. In Kenya Somalis experience tribalism like any other tribe na kupractice tribalism. Somalia ni shithole thats why most of them ran to Kenya, bribe chief somehow wanapata Kenyan ID, na huwezi prove si wakenya coz wako na ID na those people were very marginalised kitambo so ata birth certifictes hawakuwa wanapata. Wanatumia hii loophole. Pia a Kenyan man ataoa like 3 wives from somalia na each anapata like 8 kids
 
a couple out of a million, enda pale facebook kwa news channel za kenya kama NTV or Citizen wakati kuna news za KenyaVS Somalis uone...
those are sympathisers mostly. Na nashuku they are from Somalia, thats why
 
Somalis hukuwa tribal within pia. The Somali Kenyans are mostly from Ogaden clan, same as those in Ethiopia. Na kuna Isaq clan pia kenya. Ogadenis are not liked in Somalia
 
Acha ujuha wako wewe. Mada hii ni kuhusu nini, kama sio Somalia na Jubaland? Mimi nimejibu hoja yako ya kipumba kwa sentensi moja fupi kisha nikarudi kwenye mada. Hiyo inaitwa focus, take notes.
Hivyo ndio wasenge wanakuaga, Mimi nilizungumzia Kenya na Ethiopia, uliponi "quote", inamaana ulilenga lile nililolisema, kama ulitaka kujibu huu Uzi, hukupaswa kuni" quote ".
 
Mm sielewi, hiyo buffer zone so called jubaland, is it your new neighbours btn Kenya and Somalia buffering you guys from al shabab
Kuna pia ile maritime border dispute ambapo Somali wanadai bahari ni yao, Hio sehemu iko ndani ya Jubaland state





Kenya's offshore Oil blocks according to GoK, some blocks already auctioned




Kwahivyo Somali wakishinda kesi ya mpaka wa baharini kule ICJ, Kenya itakua haina budi ila kuhakikisha tutatumia mbinu zote (ikiwemo kufanya wakaazi wa juba waitishe kura ya kujigawanya na Somali wawe nchi ya kivyao) kuhakikisha hio bahari imebaki Kenya...







Usisahau hata vile vita kati ya Sudan na South Sudan Kenya iliunga mkono south Sudan... Hadi wa leo South Sudan haijawahi kudai sehemu yao ya Ilemi triangle ilhali ni ardhi yao.
 
Reactions: Oii
I disagree, they are patriotic af, najua a couple of them
Jubaland joining Kenya would be a disaster for Kenyan politics. We have millions of Somalis living in Jubaland and introducing them to KE will make our tribal politics even more complicated. The Luhyas and the Kales will stop being important, every body will be licking the behind of Somalis to get votes. Plus Jubaland is very big so politicians may be interested in grabbing some of that land. It will just be chaos. They can't speak Swahili and are battle hardened coz of 30 year war in Somalia. Such crazies are prone to fighting and since Kenyan citizens are softies who have never seen war since independence, it will just cause fracas.
 
Mambo ya kijinga kijinga ndio mnayapenda wakenya.
Huu upumbavu ndio mnaushabikia!? Hamjui kuwa Somalia is a Sovereign State!?
 
Inasemekana huyu jamaa aliwahi kujihusisha na matendo ya kukiuka haki za binadamu na kutesa watu siku za nyuma, sasa hivi ni Waziri huko Jubaland.

Baada ya huu uchaguzi wa Jubaland ambao serikali ya Mogadishu haiutambui, wameamua kumkamata kama njia moja wapo ya kupeleka ujumbe kwa Madobe kwamba hakuna kiongozi yeyote wa Jubaland atakayekuwa na kinga ya kushitakiwa ndani ya Somalia kwasababu hawaitambui serikali ya Jubaland.
 
Hivyo ndio wasenge wanakuaga, Mimi nilizungumzia Kenya na Ethiopia, uliponi "quote", inamaana ulilenga lile nililolisema, kama ulitaka kujibu huu Uzi, hukupaswa kuni" quote ".
Usilie basi, hivyo ndivyo dunia ilivyo. Ukitaka ujibiwe unavotaka wewe au ukitaka usinukuliwe anzisha forum yako. The world doesn't revolve around an uknown entity like you.
 
Ndio sababu tunawaambia Kenya mjiandae kupigana na Ethiopia, Ethiopia haiwezi kukubaliana na wazo la Jubaland Kujitawala, Itatumia kila linalowezekana kuhakikisha Farmaajo anairudisha Jubaland mikononi mwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…