Somalia Arrests minister of security of Jubaland

Very true, no Kenyan is interested in expansionism that will see us have a population that will destabilize the current tribal matrix..wacha siasa hii ya Wakale, Wakikuyu ,Wajaluo ibaki hivyo ..the good thing is that though kuna tribalism kenya, the rest of us the "nywele ngumu" are intermarrying and getting to co-exist without anyone thinking his culture is superior ..Hii Ukabila itakwisha.. but Somalis are very different bana.. they consider the rest of Africans inferior.. There is a Somali gal who is working as a house help in our estate, everytime i talk to her she keeps telling me how humiliated she is working for "nywele ngumu" as a maid, hata nyumbani kwao she can't say what work she does in Nairobi.. very strange complex
 
Usilie basi, hivyo ndivyo dunia ilivyo. Ukitaka ujibiwe unavotaka wewe au ukitaka usinukuliwe anzisha forum yako. The world doesn't revolve around an uknown entity like you.
Ndio sababu nikakushauri kwamba lazima ujipange, duniani sio watu wote ni wajinga.
 
Ndio sababu tunawaambia Kenya mjiandae kupigana na Ethiopia, Ethiopia haiwezi kukubaliana na wazo la Jubaland Kujitawala, Itatumia kila linalowezekana kuhakikisha Farmaajo anairudisha Jubaland mikononi mwake.
Ethiopia wako na Interest jubaland but i don't think they would point their guns towards Kenyans... the results would be too risky and the gains not a guarantee. Ethiopia is also a very divided nation..and with almost 100m population , attempting anything that would cause a disturbance is not worth it.
 
It is unfortunate that even a mere househelp feels superior to the bosses who have employed them on account of hair texture. Wacha Jubbaland ibaki Somalia. Imagine someone with that attitude combined with 30 years war experience in Somalia halafu wakuje Nairobi kwenye watu hawajawahi shika bunduki maisha yao yote.
 

Very unfortunate , i hear even kids huko Dadaab refugee camp are told not to learn swahili language, eti ni "lugha ya punda"
 
Lakini Ethiopia is a ticking bomb, kwanza Oromos want out
 
Very unfortunate , i hear even kids huko Dadaab refugee camp are told not to learn swahili language, eti ni "lugha ya punda"
Illiterate mentality wao nayo. This is how backward people think. Lakini na hii birthrate yao niko sure 2039 census watakuwa largest tribe, unless North Eastern becomes part of somalia, we are effed
 
What I know is that Somalis doesn't like Ethiopia.
 
Illiterate mentality wao nayo. This is how backward people think. Lakini na hii birthrate yao niko sure 2039 census watakuwa largest tribe, unless North Eastern becomes part of somalia, we are effed
Hope We will have become a developed nation by then, because when a nation has enough for everyone and economic opportunities for everyone then issues can be solved.
But with poverty, un-employment ,illiteracy , etc ..time bomb
 
Somalis hukuwa tribal within pia. The Somali Kenyans are mostly from Ogaden clan, same as those in Ethiopia. Na kuna Isaq clan pia kenya. Ogadenis are not liked in Somalia
Somalis from Somalia do not like Somalis from Kenya, escpecially the Isaqs like Amina Mohamed, for speaking Swahili and intermarrying too. They call them Sijuis, as in Sijui kisomali. Hahaha! [emoji1]
 
hahahaha, kama ambavyo Kenya ipo na interest na Jubaland na ipo tayari kumsaidia Madobe, basi hata Ethiopia ipo na interest na ipo tayari kumsaidia Farmaajo.

Kenya pia ni very divided country, ukabila uliopo Ethiopia, ndio huohuo upo Kenya. Uzuri wa Ethiopia ni kwamba hakuna rushwa.
 
Somalis from Somalia are biased against Somalis from Kenya escpecially the Isaqs like Amina Mohamed for speaking Swahili and intermarrying too. They call them Sijuis, as in Sijui kisomali. Hahaha! [emoji1]
ha ha eti "Sijuis" , funny name
 
Did you hear what your advocates said in SA?[emoji23][emoji23][emoji23]. Ni aibu tupu.
 
Ndio sababu tunawaambia Kenya mjiandae kupigana na Ethiopia, Ethiopia haiwezi kukubaliana na wazo la Jubaland Kujitawala, Itatumia kila linalowezekana kuhakikisha Farmaajo anairudisha Jubaland mikononi mwake.
Boss, unakariri tu, huelewi chochote kuhusu Somalia. Jubaland imejitawala tangu 2011-12 baada ya KDF kufanikiwa kudumisha amani. Uchaguzi huu ulikuwa wa pili na ule wa kwanza Rais Madobe alishinda pia. Somalia ni 'federal state' na mataifa yote kama Somaliland, Puntland, Jubaland n.k ndani ya Somalia yana serikali zao. Hasira za Farmajo na serikali yake ni kwamba vibaraka wake walibwagwa chini na chaguo la Kenya, rais Madobe, kwenye uchaguzi mkuu mwezi uliopita. Acha ujuaji wa peni mbili.
 
Somalis from Somalia do not like Somalis from Kenya, escpecially the Isaqs like Amina Mohamed, for speaking Swahili and intermarrying too. They call them Sijuis, as in Sijui kisomali. Hahaha! [emoji1]
That is funny. Hahaha
 
Ethiopia wametu accuse mara kadhaa eti tuna support Oromia Liberation Front (ELF).
Sidhani Ethiopia wata taka mgogoro wowote baina yao na Kenya.
Alafu we have a defense pact with them which was renewed last year.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…