Somalia Arrests minister of security of Jubaland

Ethiopia kuna rushwa rafiki, pengine useme kiwango iko chini kushinda Kenya. Mimi nimefika Ethiopia 2016 nikitafuta visa ya nchi fulani. Hapo Moyale kwa border, huyo Mhabeshi akawa mkali sana akakataa kustamp passport yangu. Anahudumia Wahabeshi wengine tu, kumbe alikuwa anataka hongo. Nikampa pesa nione kama atachukua maana nilikaa hapo masaa matatu. Jamaa alichukua na kunistampia mara moja. Halafu nilipofika Addis nikaingia kwa taxi na kuelewana na dereva pesa fulani kunipeleka kwa embassy . Baada ya kunifikisha humo jamaa akaanza kuitisha pesa mara dufu, na ana fujo anataka kuliamsha dude. Baada ya kugombana nikaamua kumpa alichohitisha. Nikaona hawa watu wako backward sana. Kwa hivyo, sio kila Mhabeshi ana tabia nzuri, wengine tabia imeoza.
 
True! Kenya isizubae kabisa Ethiopians wamehongwa ili wamsaidie Warlord Farmajo
Jubaland ni Ardhi ya Wabantu wenzetu na ndio yenye utajiri mkubwa wa Mafuta na Gesi na Ahmed Madobe ameisaidia Kenya katika kupambana na Alshababu

Mhe Uhuru Kenyatta anafanya kazi nzuri sana Kongole Mhe. Uhuru Mwigai Kenyatta. afanye kila njia uchaguzi mkuu wa South Somalia unakuja 2020 ahakikishe Warlord Farmajo anaondolewa kwenye uongozi huo wa Kigaidi.
 
Hii inathibitisha ule usemi wa watanzania kwamba wakenya mpo na akili ndogo sana na hamna kitu mnachojua zaidi ya kujifanya wajuaji.

Hizo states zote ulizozitaja hazikubaliki wala hazitambuliki na UN wala na Serikali ya Mogadishu, kinachosubiriwa ni kuimarika kwa serikali ya Mogadishu ili iweze kudhibiti nchi na usalama ili zirudi kuwa chini ya Somalia moja.

Marekani na nchi za Ulaya mwaka juzi zilitoa onyo kwa Kenya ilipoanzisha "Jubaland initiative", kwamba ni muendelezo wa kuigawanya Somalia na kwamba haikubaliki, ndio sababu kubwa ya nchi za Magharibi kushirikiana na Farmaajo katika kupinga Ombi la Kenya kutaka kundi la Alshabaab kuwekwa katika orodha ya magaidi.

Kenya mtaendelea kutengwa na jumuiya ya kimataifa kutokana na kiburi chenu cha kujifanya wajuaji na kutaka kila nchi iwasikilize ninyi.
 
Nilikua ninamaanisha hivyo, kwamba ikilinganisha Kenya na Ethiopia katika kipengele cha rushwa, Ethiopia ni mtoto sana. Kuhusu huyo Taxi driver, hiyo sio rushwa ni "Ubabe" .
 
Go and liberate SA again, they have just killed a Tanzanian in Jorbug today in a xenophobic attack.
 
Unatumia maneno mengi sana kueleza pumba tupu. Kwani U.N. huwa wanatambua 'regional governments' kwenye nchi federal kama Nigeria? Isipokua Somaliland, hamna taifa lolote lingine ndani ya Somalia ambalo limesema rasmi kwamba linataka kujitenga. Wewe jamaa ni mshamba kupindukia. We vipi, siutulie tu ufanya risechi kuhusu masuala ya Somalia?
 
We andaa andaki tu, vita vikitokea ujifiche
 
Hujui kitu acha nikuelimishe, huko Nigeria au nchi zingine, hayo majimbo ni sehemu ya serikali na rais ni mmoja tu. Somali land ni nchi inajitegemea na wameshapekeka maombi UN ili itambulike kuwa nchi rasmi, wana jeshi, pesa na rais wao.
 
Hujui kitu acha nikuelimishe, huko Nigeria au nchi zingine, hayo majimbo ni sehemu ya serikali na rais ni mmoja tu. Somali land ni nchi inajitegemea na wameshapekeka maombi UN ili itambulike kuwa nchi rasmi, wana jeshi, pesa na rais wao.
We jamaa bana, unaniambia sijui lolote alafu unarudia tu yale ambayo nimekueleza. Rais Farmaajo ni rais rasmi wa sehemu zote hizo, hata Jubbaland kwa Madobe na Puntland pia. Hebu rejea comment zako za hapo awali ujione mwenyewe ulivochanganyikiwa zaidi ya paka shume.
 
Hawa mashetani eti sasa wamekataza Kdf kuenda Kismayu airport (Jubbaland). Eti Kdf lazima waende Mogadishu kwanza. Hahaha wamepaniki.



KDF suffers blow in war against Al-Shabaab as Somalia bans flights to Kismayo

Kenya Air Force troops at a past training exercise. [Photo/KDF/Twitter]
9 hours ago, by Sheppernard N. Mosomi

The decision to ban direct flights to Kismayo Airport is a strategy to derail Kenya Defense Forces in the ongoing fight against Al-Shabaab militants, it has emerged.
ADVERTISEMENT
See top deals from Jumia
Last week, the federal government of Somalia banned direct flights to Jubaland, a move that will force all Kenyan planes to go through Aden Abdulle Airport before being cleared to fly to Kismayo.
Somalia has been at loggerheads with Kenya following the latter's decision to back Jubbaland President Ahmed Madobe, who won re-election.
A former diplomat says the directive will hamper operations of KDF given than plans carrying military equipments have been landing in Kismayo before.
“It targets Kenya and may well be intended to slow down Kenya’s supplies and logistical support to its Amisom camps in Dhobley and Kismayu,” Idd Bedel Mohammed, a former Somali diplomat, told the Sunday Nation.
“It is targeting Jubaland in the wake of defiance. But it is discriminatory and may backfire if clans feel they are being targeted,” he said, referring to the re-election of Jubaland President Ahmed Islam Mohamed, alias Madobe.
Kenya has been backing Madobe, the commander of Ras Kamboni Brigade, who helped KDF liberate Kismayo. Over the weekend, a Jubbaland minister was arrested in Modadishu.
Last week, Somalia also opposed Kenya's bid to have Al-Shabaab listed as a terrorist organization, a move that further complicates relationship between Nairobi and Mogadishu.
Pressed to explain, Somalia’s Permanent Representative to the UN Abubakar Dahir Osman told a radio station that Kenya had sustained Shabaab’s source of revenue by abetting illegal charcoal trade.
“We urge the Kenyan Government to implement Security Council Resolution 751 targeting Al-Shabaab, including the ban on illegal charcoal trade,” he later tweeted.
KDF is scheduled to leave Somalia in 2021, with United Nations expecting that by then, Somali National Army will be in a position to take over
 
Sikiliza nikuambia, Somaliland, Puntland, na sasa hivi Jubaland, wote wameamua kujitangazia kujitawala bila baraka za serikali ya Somalia, jambo ambalo linapingwa sio na Serikali ya Mogadishu pekee, bali na UN pia.

Lengo lao ni kujitawala na kuwa nchi tofauti na Somalia, ilianza Somali land, wakachagua rais wao, waketengeneza pesa yao, bendera yao na jeshi lao, wakapeleka ombi UN ili itambulike kuwa nchi kamili, wakakataliwa, lakini hadi Leo bado wanaendelea kuomba wakubaliwe.

Puntland nao wanafuata njia hizo hizo, japo hawa kidogo hawasukumi sana kwasababu wanajua kwamba UN haikubali. Marekani na EU walipoionya Kenya wasiunge mkono jitihada za "Jubaland initiative" ni kwasababu walijifunza kutoka Somaliland.
 
Na wewe huwa unamjibu aje huyo dada wa kisomali
 
Lakini Ethiopia is a ticking bomb, kwanza Oromos want out
Really? Lkn Rais wao is from oromos, thought they could chill aftr they got a leader from their ethnicity
 
Did you hear what your advocates said in SA?[emoji23][emoji23][emoji23]. Ni aibu tupu.
Aibu ipo wapi kwa walichosema, unajua aibu wewe, au unaropokwa tu.
 
Yani dereva tax akataka hela zaidi ya mlokubaliana, na ukampa, kisa kalianzisha.
 
Hana taarifa US, EU, Somalia etc doesnt recognize al shabab kama ni terrorist group
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…