Mkuu Somaliland imeendelea tuache unafiki.
Somaliland sio sawa na Somalia Mogadishu.
Somaliland pametulia na panaridhisha kwa maendeleo yake tuache unafiki.
Somalia Miaka mia haiwezi shindana na Tanzania hata kama ingekuwa ina amani.
Nakubali Tanzania ni taifa linaloenda taratibu ila usifananishe na hako kanchi kaitwacho Somalia.
Somalia hata ingekuwa imeanza kupata uhuru kabla ya TZ na ikawa na amani isingeweza kushindana na TZ.