Hahaa mkuu et WapembaWasomali kwa asili ni wabaguzi sana ndiyo maana hawapendani wanaamua kuchinjana. Wakati mwingine ni vizuri kuwa na wageni ili mpate wa kusingizia matatizo yenu. Kwa mfano Watanzania wanahisi wanyonyaji hapa nchini ni Wahindi. Laiti wahindi wasingekuwepo tungeona wanyonyaji ni Wapemba na Wachaga labda..(najaribu kuwaza tu). Na hasira zote tungezimalizia kwao. Uwepo wa wageni unasaidia wenyeji kuelewana
HahahaaNgedere,ngedere tu,hao wakenya wakiamua kuwatoa wasomali Westland hapo Kenya kutakalika?
Uzuri sisi hatupo mahali kwa wingi,tukiamua kuwakimbiza wasomali waliojaa hapo Kkoo sijui watafanyaje.
Maana ni kazi ndogo tu mwanasiasa kuwaambia machinga wawapeleke woote wasomali na wachina pale uwanja wa karume.watapewa zawadi nono,
Utaona vumbi lake