Somalia yafuta mikataba yote ya bandari iliyoingia na UAE

Somalia.​

Source: Mwananchi
------
My Take:


Hii ni salamu kwa DP World mara baada ya chawa wenu Rais Samia kuondoka Madarakani tutavunja mikataba yote na kurejesha bandari kwa watanganyika.
Ndo maana makatekista wanawapyambya sababu hamna akili, soma sababu hapo kuwa somalia wamechukizwa na kitendo Cha uae kuiunga mkono taifa la mabwana zenu, Israel, kuitambua Somaliland.......we na kiherehere chako umesharukia huko.

Ahsante kwa kungoja mpaka kipindi Cha Rais, Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, kuisha kipindi chake. Nilifikiri mnaenda kumtoa kama mlivyoagizwa na TEC pamoja na chadema😄😄😄
 
Huyo muuwaji ananuka damu za watu na ataenda jela kwa kuuza bandari za watanganyika
 
Wacha kulisha watu ujinga.
Tatizo la bandari za Somalia ni case tofauti na Bandari za Tanganyika (DP WORLD)
Point yake ni kuwa mkataba/mikataba inaweza kufutwa regardless the differences of the reasons, scenarios or circumstances, acha kujitoa ufahamu.
 
Huyo muuwaji ananuka damu za watu na ataenda jela kwa kuuza bandari za watanganyika
Imeuzwa shilingi ngapi ewe kondoo wa kitima?!! Ataenda jela tu ikiwa nchi hii itaongozwa na kitima au wale viongozi wachache wanafiki wa kikatoliki.
 
Imeuzwa shilingi ngapi ewe kondoo wa kitima?!! Ataenda jela tu ikiwa nchi hii itaongozwa na kitima au wale viongozi wachache wanafiki wa kikatoliki.
Ni swala la muda tu atanyolewa bila wembe
 
Mpaka sasa bandari ya Dares salaam haina ufanisi wowote tulioahidiwa na Samia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…