Somalia yatangaza hali ya dharura kutokana na ukame

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,880
Reaction score
6,368
Waziri Mkuu wa Nchi hiyo, Mohamed Hussein Roble ametangaza Hali ya Dharura kutokana na Ukame mbaya, akiwataka Wananchi na Jumuiya ya Kimataifa kusaidia wahanga.

Ukame mbaya umeripotiwa sehemu kadhaa Nchini Somalia, na vifo vya watu panoja na mifugo vimeripotiwa. Takriban Raia Milioni 3.5 tayari wanakabiliwa na uhaba wa Chakula.

========

Somali Prime Minister Mohamed Hussein Roble has declared a state of emergency in the wake of the country's worsening drought.

The declaration came after the prime minister chaired an extraordinary cabinet meeting on Tuesday.

He called on the Somali people and the international community to help those affected by the drought.

Severe drought has hit several regions in the country, putting people and animals in dire straits. In some areas, it has killed some people as well as livestock.

The UN says the drought has been worsened by rains failing for the third time since late 2020.

Some 3.5 million Somalis are already facing acute food insecurity, according to the UN.

Source: BBC
 
Chadema watakwambia sababu ni kukatwa miti milluoni 4 Rufiji.
 
Jumuia za kimataifa saidieni Somalia kwenye kipindi hiki kigumu.Nchi hii bado Haina utulivu tangu Mohamedi Siad Bare alipoondolewa madarakani.
 
Gaidi Mbowe alipanga kukata miti all the way from Morogoro to Iringa ndio chanzo cha ukame unaoendelea duniani! Mahakam Kuu imejulishwa rasmi taarifa hizo.
 
Jumuia za kimataifa saidieni Somalia kwenye kipindi hiki kigumu.Nchi hii bado Haina utulivu tangu Mohamedi Siad Bare alipoondolewa madarakani.
Wakachukue misaada Yemen from their brothers.
 
Back
Top Bottom