joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Somalia Leader Threatens to Invade Nairobi With Army, Govt Fires Back
Sina uhakika kama ni busara kwa Kenya kuendelea kuweka majeshi yake ndani ya Somalia kwasababu zaidi ya kuongezeka kwa mashambulizi ya Alshabaab ndani ya Ardhi ya Kenya, sasa hivi uhusiano kati ya Somalia na Kenya unazidi kuharibika kila kukicha.
Ikumbukwe kwamba Somalia haina lolote la kupoteza kwasababu nchi yenyewe ilishasambaratika, sasa Somalia inatakuta kupata jirani mwengine ili wasambaratike pamoja, wameshindwa kuivuta Ethiopia, wameamua kufa na Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app