joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hizi news ni outdated this was earlier last month.After Kenya allowed Janan a fugitive who escaped from Mogadishu prison to crossover to Kenya under protection of kdfSomalia Leader Threatens to Invade Nairobi With Army, Govt Fires Back
Sina uhakika kama ni busara kwa Kenya kuendelea kuweka majeshi yake ndani ya Somalia kwasababu zaidi ya kuongezeka kwa mashambulizi ya Alshabaab ndani ya Ardhi ya Kenya, sasa hivi uhusiano kati ya Somalia na Kenya unazidi kuharibika kila kukicha.
Ikumbukwe kwamba Somalia haina lolote la kupoteza kwasababu nchi yenyewe ilishasambaratika, sasa Somalia inatakuta kupata jirani mwengine ili wasambaratike pamoja, wameshindwa kuivuta Ethiopia, wameamua kufa na Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
One month old news inayohusisha mahusiano ya nchi mbili ni outdated news?, kumbuka sakata la Kenya na Somalia kugombania bahari ya Hindi limeanza muda gani sasa?, Je nalo ni outdated?.Hizi news ni outdated this was earlier last month.After Kenya allowed Janan a fugitive who escaped from Mogadishu prison to crossover to Kenya under protection of kdf
.As we speak he is launching his operations from Kenya.
Nakuelewa ila nilikuwa nataka kumaanisha there are more recent developments concerning the issue .One month old news inayohusisha mahusiano ya nchi mbili ni outdated news?, kumbuka sakata la Kenya na Somalia kugombania bahari ya Hindi limeanza muda gani sasa?, Je nalo ni outdated?.
Hapo sababu waliotoa Somalia kutaka kuivamia Kenya ni kutokana na KDF kuendelea kukalia ardhi ya Kenya, wewe unaleta sababu tofauti unayoijua wewe, sasa wewe umekua afisa wa serikali ya Somalia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama zipi?Nakuelewa ila nilikuwa nataka kumaanisha there are more recent developments concerning the issue .
Jombaa, vikosi vya kijeshi vya Kenya vipo Somalia chini ya mandate ya AMISOM. Hiyo ni FACT, AMISOM ni mission ya AU, Umoja wa Afrika. Acha porojo.Wameshindwa kurekebishana nchi yao halafu wanaenda kuangaika kurekebishana nchi za wenyewe.
Kilicho wapeleka huko ni nini maana kila kukucha afadhali ya jana,Jombaa, vikosi vya kijeshi vya Kenya vipo Somalia chini ya mandate ya AMISOM. Hiyo ni FACT, AMISOM ni mission ya AU, Umoja wa Afrika. Acha porojo.
Acha kupotosha watu, KDF sio miongoni mwa nchi zilizochaguliwa kwenda Somalia kuunda AMISOM KDF iliingia Somalia ili kuwazuia Alshabaab wasivuka mpaka kuingia Kenya na kuteka watalii, walipofika huko ikaonekana sio vizuri KDF kupigana ndani ya Somalia kivyake bila kuwa na mawasiliano na vikosi vya AMISOM, ndio wakajumlishwa, kule mlijipeleka wenyewe kwa ujinga wenuJombaa, vikosi vya kijeshi vya Kenya vipo Somalia chini ya mandate ya AMISOM. Hiyo ni FACT, AMISOM ni mission ya AU, Umoja wa Afrika. Acha porojo.
Ndio maana tangu siku ya kwanza mission ya Kenya ilikuwa ni kutengeneza Jamhuri ya Azaaniya(Jubaland) na tukafanikiwa. Kama buffer zone kutoka kwa hawa jamaa wapo tayari kuwaua wasomali wenzao kwasababu tu ni wa ukoo mwingine, wao wanaita Qabil kwa kisomali. Sheikh Madobe ambaye alifanikiwa kuwa rais wa Azaaniya kwa ushirikiano na Kenya na akawakomboa watu wake kutoka kwa dhulma za Mogadishu hawatawezana naye.Happening now Fighting on the Kenya-Somalia border btwn Somalia army and JUBALAND mercenaries.
Kenya haiwezi angushwa na foreigners. Kama Kenya itaangushwa basi itaangushwa na Wakenya wenyewe kama vile ilifanyika 2007. Mtu yeyote kutoka nje hawezi kutufanya lolote.Somalia Leader Threatens to Invade Nairobi With Army, Govt Fires Back
Sina uhakika kama ni busara kwa Kenya kuendelea kuweka majeshi yake ndani ya Somalia kwasababu zaidi ya kuongezeka kwa mashambulizi ya Alshabaab ndani ya Ardhi ya Kenya, sasa hivi uhusiano kati ya Somalia na Kenya unazidi kuharibika kila kukicha.
Ikumbukwe kwamba Somalia haina lolote la kupoteza kwasababu nchi yenyewe ilishasambaratika, sasa Somalia inatakuta kupata jirani mwengine ili wasambaratike pamoja, wameshindwa kuivuta Ethiopia, wameamua kufa na Kenya
Sent using Jamii Forums mobile app
Jombaa rudi tu kwenye zile mada zako za kumsifia Jiwe. Sasa kama Kenya ndio iliomba kujiunga na AMISOM mbona hawakukataa? π Wakati hadi hela kutoka kwa AU huwa wanagawa kwa Kenya kila mwaka? AU ndio walitaka Kenya ijiunge na AMISOM ili kufanikisha vita vya kwa pamoja dhidi ya magaidi wa Al-Qaeda(Alshabaab). Alafu unataka kumaanisha kwamba hujui kwanini Kenya ilituma vikosi vyake vya kijeshi Somalia? Yaani unataka kumaanisha Rais Mwai Kibaki, na Raila, waliamka tu siku moja wakaamua acha tufike Somalia? πAcha kupotosha watu, KDF sio miongoni mwa nchi zilizochaguliwa kwenda Somalia kuunda AMISOM KDF iliingia Somalia ili kuwazuia Alshabaab wasivuka mpaka kuingia Kenya na kuteka watalii, walipofika huko ikaonekana sio vizuri KDF kupigana ndani ya Somalia kivyake mawasiliano na vikosi vya AMISOM, ndio wakajumlishwa, kule mlijipeleka wenyewe kwa ujinga wenu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kuanguka, ila kuivuruga kama ilivyo sasa, Kenya kwa hali ilivyo hivi sasa huko kaskazini mashariki ikiendelea kuna uwezekano mkubwa ukanda wote wa pwani ukamezwa na hatimaye nchi nzima ikawa kama kaskazini masharikiKenya haiwezi angushwa na foreigners. Kama Kenya itaangushwa basi itaangushwa na Wakenya wenyewe kama vile ilifanyika 2007. Mtu yeyote kutoka nje hawezi kutufanya lolote.
Ni ngumu sana kufanya mazungumzo na watu wenye IQ ndogoJombaa rudi tu kwenye zile mada zako za kumsifia Jiwe. Sasa kama Kenya ndio iliomba kujiunga na AMISOM mbona hawakukataa? π Wakati hadi hela kutoka kwa AU huwa wanagawa kwa Kenya kila mwaka? AU ndio walitaka Kenya ijiunge na AMISOM ili kufanikisha vita vya kwa pamoja dhidi ya magaidi wa Al-Qaeda(Alshabaab). Alafu unataka kumaanisha kwamba hujui kwanini Kenya ilituma vikosi vyake vya kijeshi Somalia? Yaani unataka kumaanisha Rais Mwai Kibaki, na Raila, waliamka tu siku moja wakaamua acha tufike Somalia? π
Sipati picha hiyo 2007 mambo yalikuwa vipi kibera ?Kenya haiwezi angushwa na foreigners. Kama Kenya itaangushwa basi itaangushwa na Wakenya wenyewe kama vile ilifanyika 2007. Mtu yeyote kutoka nje hawezi kutufanya lolote.