Sijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?Raisi wa jamhuri ya watu wa Somalilland ambae pia ni Amiri jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Nchi hiyo yenye Amani na Utulivu.
Rais Musse Biihi Abdi
Ameapa kulisaidia taifa la Kenya iwapo litavamiwa na Majeshi ya nchi ya Somalia alisema "tutawasaidia Ndugu zetu Wakenya kwa mbinu na tutalituma jeshi letu kupambana bega kwa bega na Majeshi ya Kenya".
Raisi Mussa Biihi Abdi alisema Taifa la Somalia huwa halielewi lugha nyingine mpaka nguvu itumike ndio huwa wanaelewa .
Pia amemuondoa hofu Raisi Uhuru Kenyatta kuwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili hautayumbishwa.
Kweni Raisi wa South Sudan akiamua kuisaidia Misri iwapo atavamiwa na Sudan mbona kichwa kinakuwa kigumu kuelewaSijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia hujawahi kusikia kitu kinaitwa Senegambia?!Ogaaah! Naomba kujua hii nchi ya Somaliland imetokana na Somalia ama sivyo? Frankly sikujua kuwa kuwa kuna nchi inaitwa Samaliland Leo ndo najua hayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Somalia baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe wakagawanyika yaani North na South SomaliaSijaelewa hapa. Yaani rais wa Somalia ataisaidia Kenya kupigana na Somalia?? Ama ndo ukilaza wangu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na pia waliungana kwanza ndio kutengeneza jamhuri ya SomaliaSomalia baada ya vita ya wenyewe kwa wenyewe wakagawanyika yaani North na South Somalia
Somaliland ni self declared state na waliamua kujitenga na Mogadishu
Kwa hiyo kwa miaka kadhaa waliamua kujijenga kwa serikali yao na kuwa na serikali kamili ikiwa na Rais wao ambae ndiyo huyu anaetaka kuisaidia Kenya
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Huu mkoa wa Puntland umetengenezwa maalum Mwaka 1998 ili kutengeneza mgogoro ila Mpaka uko palepale na OAU ilikaa Mkutano na kuamua Mipaka iloyowekwa na Wakoloni iheshimiwe. Laa sivyo ingekuwa Vurugu mechi wamasai wote wangesema wanataka mpaka uhamishwe ili wao wote wawe eidha Kenya au TanzaniaHawa hawa Somaliland ambao wapo kwenye mgogoro na Puntland kwasababu ya mpaka? Wana uadui mkali sana na Somalia pia
Kilichowaudhi upande wa somaliland ni Barre (late) kuishambulia wakati uleNa pia waliungana ndio kutengeneza jamhuri ya Somalia