Some Celebrities that I ever Crushed to 'em

Mimi movie akiigiza Tom cruise,alieigiza captain America lazima niangalie hata kama mbayaaa
 
Hivi nyie mnamjua mke wangu Odeya Rush kweli??Angalieni Hunter's Prayers,Desire alaf mje tena.
Yuko vizuri sana ila utaishia kupata madem wagonga ugoro wa Mianzini
 
netflix wanazingua,niejitahidi kuItazama episode kama 5,6 nimeona ni utoto tu.MI NAONAGA KAMA NETFLIX WANAINGIAGA GHARAMA KWENYE CAST LAKINI STORY WANAZINGUA .

NIMEAMUA KUIBWAGA.
Aisee Mimi nawaza sijui niangalie au la coz namkubali Iko uwais.. ila Netflix seres zao za hovyo. Narcos México imenishinda
 
Ndio Chris evans nampenda balaa
Yaan hao watu acha Tom namba moja
Nyie mnaopenda Masculine man mwangalie pia Chris Hemsworth.. Ila Chris Evans yuko status ya juu! Yeye haseduzi madem wanamiminika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…